Makanisa ya Kilokole yana shida kubwa sana

Ndo uhalisia ukiwaambia ukweli wanakuambia unachuki na ulokole. Chuki itoke wapi sijawahi hata ingia ungovi nao.
Maswali yangu hujayajibu mkuu,
Nimekuuliza,
Kwenye maelezo yako umehukumu makanisa yote ya kilokole kuwa,
1. Kuombewa na mchungaji (nabii) hadi utoe hela,
Je hiyo research yako umeifanya kwa kiasi gani hadi makanisa yote uyaweke kwenye kapu moja?
 
Ni kweli vipi kuhusu makekele? Ibada ya masipika inaanza saa12:00 asubuhi ni sahihi?
Mkuu ufanyike utaratibu wa zitungwe sheria pale Dodoma
1. Makanisa yote na misikitini yote iwe na Soundproof.
2. Marufuku misikiti kuwa bomba za adhana maana nayo ni Sehemu ya Makelele.
3. Bar zote ziwe na Soundproof maana nazo zina kelele sana ila mmetia pamba masikioni hamzisemi Bar.

4. Gari za usafiri wa public marufuku kupiga miziki wala mahubiri ya dini yoyote, wala kupiga mziki wa aina yoyote ile, ila ruhusa kuweka uchambuzi wa habari mbali mbali,

Maana ww mwislamu ukiingia kwenye daladala imewekwa Gospel music, au mahubiri hutakuwa sawa moyoni kusikiliza na kwa mkristo pia aliingia kwenye daladala akute imewekwa Qaswida au mawaidha hatafurahia,
Hata na kwa wasio waumini wa hizi dini nao hivyo hivyo wakutane na mojawapo ya miziki hiyo hawatapenda ,
Na kuwekwa miziki dunia ya kina Zuchu na Ali Akiba waumini wenye kujielewa wa kiislamu au kikristo hawatapenda, so suluhisho ni kuondosha vyote hivyo kisheria kwenye usafiri wa umma hata mabasi ya masafa marefu.

5. Boda boda nazo marufuku kupiga miziki kwenye boda boda zao,
Dar es salaam makelele matupu hizi bodaboda, fujo mtindo mmoja,
6. Kila kosa liwe na faini zake.
Kulalamika makanisa peke yake si vyema, itakuwa ni chuki binafsi,
Misikiti ina makelele, Bar zina makelele, usafiri wa umma una makelele, bodaboda zina makelele,
So balance pande zote.
 

Mt 6:6​

Bali wewe usalipo, ingia katika chumba chako cha ndani, na ukiisha kufunga mlango wako, usali mbele za Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi
 
Yale makelele tunayoyasikia ni kwa mujibu wa maandiko gani?
🀣🀣 majibu hayo hapo mkuu,yesu alikua anaenda mbali kabisa na wanafunzi wake mlimani huko anasali,so kafika mazuri wapo watu wanaoharibu mimi nakiri wokovu ni mzuri sana hasa ukitambua maandiko yanakutaka nini na wokovu sio lazima uhame RC au KKT hapana ,Mungu haangali unasali kanisa gani Mungu anaangalia moyo wako kwake,
 
Hakika Mungu haangalii kama vile binadamu tunavyoangalia🀣

Tbt 2007 kuna mjinga fulani alikuwa ananisema vibaya sana Kanisani eti mimi ni muovu, sina roho Mtakatifu.

Kuna siku alikuja mchungaji akawa anaombea watu sasa yeye akaenda mbele kusimama nyuma ya House girl wake ghafla yule House girl akapandisha mashetani akasema Wewe nini na wewe huwa unamt****na kumuingilia kiti wangu mkeo akitoka πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Ilikuwa aibu ya mwaka aisee
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yeeeeeh aisehh mke wake alikuwepo kanisani ? hii kali hii aibu naona itakua hajarudi tena hapo kanisani, tena lipepo ndiyo limemuumbuaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dhana ya makelele imeletwa na walokole wenyewe hasa kwenye kipengele cha kunena kwa lugha umaweza kusema kuna watu wamepandwa uwazimu mle kanisani mambo ya ajabu sana haya.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yeeeeeh aisehh mke wake alikuwepo kanisani ? hii kali hii aibu naona itakua hajarudi tena hapo kanisani, tena lipepo ndiyo limemuumbuaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Alafu jamaa alikuwa ni Mwenyekiti wa vijana alikaa miezi sita bila kwenda Kanisani na Mimi nikawa nimeshaondoka nikaenda sehemu nyingine, ilikua noma siku ile Mke wa jamaa aliangua kilio kama amemwagiwa na maji ya moto
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yeeeeeh aisehh mke wake alikuwepo kanisani ? hii kali hii aibu naona itakua hajarudi tena hapo kanisani, tena lipepo ndiyo limemuumbuaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mapepo nayo Jau sana 🀣🀣🀣
Kuna siku mwaka juzi tulienda kufuturu kwa Wapemba fulani, beki tatu akapandisha mashetani aliwataja wote ambao walikuwa wamekula mchana halafu wanajifanya wanafuturu. Alimtaja Mshikaji wangu ambae na sigida kama chapati iliyoungua 🀣🀣🀣
 
Alafu jamaa alikuwa ni Mwenyekiti wa vijana alikaa miezi sita bila kwenda Kanisani na Mimi nikawa nimeshaondoka nikaenda sehemu nyingine, ilikua noma siku ile Mke wa jamaa aliangua kilio kama amemwagiwa na maji ya moto
🀣🀣🀣 paroko wangu huwa anamsemo mmoja hivi ananiambiaga anasema shetani atakupa sufuria ila hatakupa mfuniko,tafsiri yake ni kwamba atakuja tu kukuumbua havinaga muda ,unaweza ukawa unamsaliti mkeo na hajui na unajifanya hufanyi huo ujinga ila siku ya siku kama hivi sasa unaumbuliwa wazi peupeeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa namna Bar zilivyo/ zilipo. (Bar nyingi za kisasa tuseme) kelele yao haisikiki nje umbali mrefu ipo ndani. Na ukiangalia kati ya makanisa na Bar zinazoleta kelele.,Makanisa yanaweza yako juu.

Utofauti ni mawaidha yao. Kama kuna watu wanao ushuhuda wa Usumbufu wa Bar wanaweza toa ushuhuda,pia hao huwa wanakuwa regulated watu wakilalamika tofauti na nyumba za ibada.
 
Sahihi mkuu. Bar mkilalamika chap tu wanafanyia kazi. Makanisa ni kero endelevu
 
Ukiliangalia kwa umakini hili jambo lina ukweli kiasi chake
Mfano wa hayo makanisa ni kama hayo ya mafuta ya upako na maji "sema aya yaa!"
makanisa mengine ni kama ya yule jamaa marehemu chillichilli 🌢️(sijui alikosea masharti gani maskini ya Mungu!), na wengine wanao fanana nao kama yule anaitwa prophet anayepiga dua/mkono wa gym πŸ’ͺ🏾
NB: ivumayo haidumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…