Makao Makuu ya CHADEMA yafurika, umati wafunga mtaa baada ya Mbowe kuachiwa huru

Mmeshindwa kuendelea kuhofia kuumbuka... Yaani mliwategemea mashahidi sampuli ya Urio??? Aibu sana
 
Nimejiuliza tu, baada ya haya Halima Mdee anajionaje?

Anajisikiaje?
Anajiona Halima Mdee na anajisikia Halima Mdee.

Ulitaka aishi kwa kufata fikra zako? Jifirie wewe achana na kufikiria wasio kuhusu.

Punguani wahed.
 
Ni mama au DPP?. Na unamshukuru mama kwa lipi wakati watu walikuwa wameandaa ushahidi wao?. Unamshukuru mtu aliyesema umekimbia kwa sababu ya ugaidi?.

Yani ninyi ndiyomaana mnapitia magumu na lichamalenu. Na msahau kushika nchi,, mjinga gani atakubali watu from NORTH waliongoze taifa!! Umesahau zitto alichoongea na mama, umesahau huko ubelgiji mama alipokutana na tundu lisu!!! Unataka kutuambia huo siyo msamaha wa huyu mama!!!! Acheni kujimwambafai wakati uwezo wenyewe wa kujitetea hamuna.


Mama God bless you, hautasahaulika kwa wananchi wako. Tunakupenda mama. Mama ni mama tu.
 
Nakuonea huruma yani,povu lote lile afu Mungu si wewe kamsaidia kaachiwa baada ya kugundua Kesi ya maagumashi.Kuna watu leo watapatwa na home za ghafla kwa mawazo

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app

Nimefurahi wameachiwa huru.


God bless mama la mamama. Wamshukuru sana huyu mama, ni kipenzi cha watu, ana utu ana imani na huruma.
 
Baada ya kuchanganyikiwa unaanza kuchanganya madesa???Tuliza akili utaokota makopo.Acha siye tuendelee kufurahi ukweli umeshindwa uwongo.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Huu utoto umecopy na kupost kwenye kila uzi unaishia kuonyesha utoto wako.
Tindo unakwama wapi? Utalinganisheje upumbafu wa huyo ‘mfalme juha zamaradi’ na utoto?! Utoto Una heshima zake mkuu!
 
Dpp kafuta Kesi full stop.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Anajiona Halima Mdee na anajisikia Halima Mdee.

Ulitaka aishi kwa kufata fikra zako? Jifirie wewe achana na kufikiria wasio kuhusu.

Punguani wahed.
Naona mjane una hasira sana na ashki zimekujaa kumgusa mzee wako Mdee. Nasikia Halima ni bingwa sana wa kuwaliwaza nyie wajane. Wapi nimesema au kutaka aishi kwa fikra zangu?

Inawauma sana Mbowe na CHADEMA kutake headlines na bado....

Tuliwaambia CHADEMA ni mpango wa Mungu sio hizo jumuia zenu za kwa mtoro na manyema zilizojaa wakoma.
 
Ofisi mbona hamuonyeshi hiyo kama banda kama la kufuga kuku

Mumekula hela za wafadhili wa Ndani na nje ofisi hamjengi

BBC ,nk mkichukua picha chukueni na picha ya hiyo ofisi ulimwengu uone pesa zao zilivyoliwa
Nakukumbusha tu kuwa Sabaya ni mfungwa wa miaka 30
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…