kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Unachekelea nini sasa. Kwani umeambiwa kaacha au kafukuzwa kazi? We subiri tu zamu yako ifike kama umedhulumu wananchi.Yule Mkuu wa mkoa mwenye makeke mengi katulizwa tulii baada ya kuwasumbua wala nchi.
Makosa yake ya nyuma na lile tambiko la Lissu limemkamata kweli kweli.
Ni suala la muda tu ukweli na uwazi utawekwa hadharani.
Ngongo kwasasa Makuyuni.