Makao Makuu ya EAC Makonda hoi bin taabani.

Yule Mkuu wa mkoa mwenye makeke mengi katulizwa tulii baada ya kuwasumbua wala nchi.

Makosa yake ya nyuma na lile tambiko la Lissu limemkamata kweli kweli.

Ni suala la muda tu ukweli na uwazi utawekwa hadharani.

Ngongo kwasasa Makuyuni.
Unachekelea nini sasa. Kwani umeambiwa kaacha au kafukuzwa kazi? We subiri tu zamu yako ifike kama umedhulumu wananchi.
 
Mnachonifurahisha akianza ziara zake mnajikausha kimya. Akitulia kujipqnga tena mnaibuka ooh katulizwa..ooh sijui kafanyeje. Soon atakuja na mrejesho tupo nae huku.
Sahivi wako bize kukopi alichokua anafanya......hizohizo mbinu wanazoziponda baadae wao wenyewe wanaanza kuzitumia
 
Yule Mkuu wa mkoa mwenye makeke mengi katulizwa tulii baada ya kuwasumbua wala nchi.

Makosa yake ya nyuma na lile tambiko la Lissu limemkamata kweli kweli.

Ni suala la muda tu ukweli na uwazi utawekwa hadharani.

Ngongo kwasasa Makuyuni.
Mbona mnatumia tungo tata a. k. a codes
 
Kuna watu wanaocomment hadi unajiuliza, kama huyu ndio yupo Jf na anajua kutumia smartphone.. Vipi wale walio na zero exposure huko madongo kuinama

Maxence asipojipanga kwenye quality control, Jf itaendelea kuporomoka kiubora maana palipo na wapumbavu wenye kelele, werevu wengi huwapuuza kwa kukaa kimya
Jamii forum ni platform kama X, sio chombo rasmi cha habari, ndio maana wana moderators na sio editors
 
Yule Mkuu wa mkoa mwenye makeke mengi katulizwa tulii baada ya kuwasumbua wala nchi.

Makosa yake ya nyuma na lile tambiko la Lissu limemkamata kweli kweli.

Ni suala la muda tu ukweli na uwazi utawekwa hadharani.

Ngongo kwasasa Makuyuni.
Hakuna kazi ngumu duniani kama kutatua migogoro kwenye eneo ambalo lina sheria kinzani.....kuna tofauti kati ya kutatua migogoro na kutatua dalili za migogoro. Faraja inayopatikana ni ya muda.
 
Tulia dawa ikuingie Bashite yuko hoi bin taaban Grand Melia hawezi hata kuchamba achilia mbali kwenda ofisini.
vice_one100-20-06-2024-0011.jpg
 
Yule Mkuu wa mkoa mwenye makeke mengi katulizwa tulii baada ya kuwasumbua wala nchi.

Makosa yake ya nyuma na lile tambiko la Lissu limemkamata kweli kweli.

Ni suala la muda tu ukweli na uwazi utawekwa hadharani.

Ngongo kwasasa Makuyuni.
Maneno ya wakosaji na wasio soma
 
Wa
Yule Mkuu wa mkoa mwenye makeke mengi katulizwa tulii baada ya kuwasumbua wala nchi.

Makosa yake ya nyuma na lile tambiko la Lissu limemkamata kweli kweli.

Ni suala la muda tu ukweli na uwazi utawekwa hadharani.

Ngongo kwasasa Makuyuni.
Wasalimie Mkuyuni
 
Jamii forum ni platform kama X, sio chombo rasmi cha habari, ndio maana wana moderators na sio editors

Hii ni forum tu kama reddit. Hata hivyo mkuu kila kitu kinakuwa na identity yake. Jamii forums haijawahi kuwa na utambulisho wa "social media platform ya watu kufanya interaction za kawaida", bali hard topics and discussions. Ikifika pahala ikakosa hii ladha, bhasi ltakosa ile thamani yake
 
Yule Mkuu wa mkoa mwenye makeke mengi katulizwa tulii baada ya kuwasumbua wala nchi.

Makosa yake ya nyuma na lile tambiko la Lissu limemkamata kweli kweli.

Ni suala la muda tu ukweli na uwazi utawekwa hadharani.

Ngongo kwasasa Makuyuni.
Bado tu hakijaeleweka huko.
 
Makonda alishakabidhiwa makontena yenye furnitures alizoagiza Toka ng'ambo? Huu ukimya sio Bure atakuwa Yuko bize na samani zake...
 
Siipendi CCM lakini nimeanza kuvutiwa na utendaji wa Makonda. Unapoona watu wanalia na kutafuta msaada na wengi kusaidiwa, Aisee tumwache awasaidie watu. Kwa habari ya maovu yake atajuana mwenyewe na Mungu wake.
 
Back
Top Bottom