Makapuku Forum

Toka 9 December mpk 12 December 2023 nililazwa ...toka 13 December mpk 29 December nilikua nakimbizana na ma Dr na waaguzi ktk kuniweka fit nakurudi uraiani ...Nawashukuru sana ma Dr na wauguzi wote .Mungu awabariki
Tunafurahi umepona mdau. Mungu ni mwema, shukrani kwa madaktari na wauguzi, wewe pamoja na wote waliofanikisha kuweza kuamka toka kitandani tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…