Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado unafatiliaga magazeti?, wakati kila kitu kipo kwenye simu.
Sijakuona kwenye uzi wa nifah.
🤣 Happy new year auntie, uwe mwaka mwingine wa mafanikio tele tele😍Dogooo ila auntie [emoji1787][emoji1787] happy new year auntie yangu mzuri mzuri
Saw sawa shemeji. Heri ya mwaka mpya.Happy New 2024 wadau wote wa jukwaa hili.
Mafanikio na afya njema juu yetu tunapobadili tarehe ya jana kuanza ya leo.
Acha Upendo Utamalaki
Ni hiyo heri ilitangulia au mwaka?Heri ya Mwaka Mpya iliyotangulia kwa wote humu
Wengi tunafatilia we endelea kufatilia kwenye simuBado unafatiliaga magazeti?, wakati kila kitu kipo kwenye simu.
Mkuu niwepo au nisiwepo haipunguzi chochoteSijakuona kwenye uzi wa nifah.
Wapi kunionea miss chagga na miss natafuta siku hizi?
Ameen Auntie yangu mzuri mzuriii na kwako pia [emoji120][emoji3059][emoji1787] Happy new year auntie, uwe mwaka mwingine wa mafanikio tele tele[emoji7]
Nakuja kula pilau hata usiponikaribisha.Ameen Auntie yangu mzuri mzuriii na kwako pia [emoji120][emoji3059]
Mie sijui ,we unaonajeNi hiyo heri ilitangulia au mwaka?
Nawe piaHeri ya Mwaka Mpya 2024 watu wa Mahali hapa...
Ukawe mwaka wa mafanikio kwetu sote.