Makapuku Forum

...mdau, salama. Utaufanya huu mji uwe mgumu, nitumie mimi afu nitamtumia yeye, mambo ya kicorporate mdogo wangu tubebane
Hahahaha🤣🤣🤣
Yaonyesha Makiwendo hana kifaa cha kupokea muamala maana kila mmoja anataka nipitishie kwake ili afikishiwe mlengwa.
Pigeni kura mchague mmoja wenu atakae pokea mzigo😁😁
 
Hahahaha🤣🤣🤣
Yaonyesha Makiwendo hana kifaa cha kupokea muamala maana kila mmoja anataka nipitishie kwake ili afikishiwe mlengwa.
Pigeni kura mchague mmoja wenu atakae pokea mzigo😁😁
Ha hahahahaha...wajumbe wameshaamua, baraka zote washazitoa ni wewe tu kukaa mbali.
 
.
 

Attachments

  • IMG_6049.jpeg
    1.4 MB · Views: 1
  • IMG_6050.jpeg
    1.7 MB · Views: 1
Reactions: Obe
.
 

Attachments

  • IMG_6051.jpeg
    1.5 MB · Views: 0
  • IMG_6052.jpeg
    1.8 MB · Views: 0
.
 

Attachments

  • IMG_6053.jpeg
    1.3 MB · Views: 0
  • IMG_6054.jpeg
    1.4 MB · Views: 0
Reactions: Obe
.
 

Attachments

  • IMG_6053.jpeg
    1.3 MB · Views: 0
  • IMG_6054.jpeg
    1.4 MB · Views: 0
.
 

Attachments

  • IMG_6055.jpeg
    1.5 MB · Views: 0
  • IMG_6056.jpeg
    1.4 MB · Views: 0
Mwanaume makini anafanya kile kilicho muhimu kwake na hajali kile wengine wanasema kuhusu yeye. Pongezi kwa wanaume wote ambao tunaamini katika haki na mafanikio kwetu binafsi, kwa wale tunaowafahamu na kwa kila mtu.
Leo ni siku ya kimataifa ya wanaume, fyi na ninaandika haya nikiwa na tai shingoni, kiatu cheusi, suruali ya khaki na mkononi nina saa inayoniambia amka ukafanye kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…