Makapuku Forum

Ni kweli kabisa. Ushirikiano muhimu sana. Unajua kuna baadhi ya memba wanajiona wao ndio wao.

UncleBen nakubali sana michango yako humu JF.
 
wakuu hebu onyesheni upendo hapa gongeni like za kutosha kwa kapuku mwenzenu ilinijue tupo wangapiii

Mimi naomba mnipe ukuu wa majeshi wa makapuku
Ni mwendo wa ukauzu tu kwa wakongwe kama mtoto alolamba limao la mti wa TARIME..
 
Aisee uncle tumekuja ku takeover, hatutaki mchezo kabisa maana tumechoka kuonewa.
 
Ni kweli kabisa. Ushirikiano muhimu sana. Unajua kuna baadhi ya memba wanajiona wao ndio wao.

UncleBen nakubali sana michango yako humu JF.
Inatia moyo pale tunapo thamini michango ya wenzetu bila kujali wamejiunga lini Jf ,wana likes ngapi sijui nini ,Jf ni kisiwa cha elimu,sehemu ya burudani tosha nk ,hivyo tuheshimiane bana
 
Teh teh..Kweli makapuku sio wachoyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…