Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,461
- 35,218
Ni kweli kabisa. Ushirikiano muhimu sana. Unajua kuna baadhi ya memba wanajiona wao ndio wao.Ama kweli umoja ni nguvu sijawahi ona uzi humu jamii forum kuanzia page ya kwanza mpaka ya mwisho watu wanakula likes tu ,Nshazoea kuona likes zinatolewa kwa kujuana tu ,Wakongwe na nyodo zao ,wanasahau pia wanazeeka ,hivyo kizazi kipya lazima kiwapiku
UncleBen nakubali sana michango yako humu JF.