Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ama kweli umoja ni nguvu sijawahi ona uzi humu jamii forum kuanzia page ya kwanza mpaka ya mwisho watu wanakula likes tu ,Nshazoea kuona likes zinatolewa kwa kujuana tu ,Wakongwe na nyodo zao ,wanasahau pia wanazeeka ,hivyo kizazi kipya lazima kiwapiku
Ni kweli kabisa. Ushirikiano muhimu sana. Unajua kuna baadhi ya memba wanajiona wao ndio wao.

UncleBen nakubali sana michango yako humu JF.
 
wakuu hebu onyesheni upendo hapa gongeni like za kutosha kwa kapuku mwenzenu ilinijue tupo wangapiii

Mimi naomba mnipe ukuu wa majeshi wa makapuku
Ni mwendo wa ukauzu tu kwa wakongwe kama mtoto alolamba limao la mti wa TARIME..
 
Ama kweli umoja ni nguvu sijawahi ona uzi humu jamii forum kuanzia page ya kwanza mpaka ya mwisho watu wanakula likes tu ,Nshazoea kuona likes zinatolewa kwa kujuana tu ,Wakongwe na nyodo zao ,wanasahau pia wanazeeka ,hivyo kizazi kipya lazima kiwapiku
Aisee uncle tumekuja ku takeover, hatutaki mchezo kabisa maana tumechoka kuonewa.
 
Ni kweli kabisa. Ushirikiano muhimu sana. Unajua kuna baadhi ya memba wanajiona wao ndio wao.

UncleBen nakubali sana michango yako humu JF.
Inatia moyo pale tunapo thamini michango ya wenzetu bila kujali wamejiunga lini Jf ,wana likes ngapi sijui nini ,Jf ni kisiwa cha elimu,sehemu ya burudani tosha nk ,hivyo tuheshimiane bana
 
Asante sana kwa pongezi zako mkuu,

Ni kweli wahanga wa hilo tatizo ni wengi sana, japo mimi kama mimi sijawahi kupata tatizo hilo moja kwa moja ila pia sifurahishwi pale mtu mwingine anapofanyiwa kitendo hicho eti kwasababu tu ye amejiunga JF 2016

Tuna nia nzuri tu, na kwa kushirikina tutahakikisha hiyo tabia inakwisha au kupungua kwa kiasi kikubwa.

Asante kwa kuguswa hope umepokea Likes za kutosha sana baada ya kukatisha anga hizi usiku wa leo[emoji4] [emoji4]
Teh teh..Kweli makapuku sio wachoyo
 
Back
Top Bottom