Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mi anytime naweza kulala, nawasihi mtakaokuwa macho mhakikishe chat inaendelea hapa bila kuvunja misingi wala sheria za Jamii Forum, pia msisahau kwenda kwenye ule uzi wetu kule jukwaa la malalamiko na kuweka nukta, msikoment ni nukta tu inatosha.
Tupeane Likes, tushirikiane pasiwe na ubaguzi, sisi wote ni sawa bila matabaka
Asante Jimena
 
b25cfb1d3f9c6ee63102d65b2820abdf.jpg

Yaani hamuwezi kuamini, simu yangu imeisha chaji, ila nailetea ukauzu si kwa mapenzi haya juu yenu[emoji2] [emoji2] [emoji111]
Hata mimi leo nimeifanya hiyo.
 
Mi anytime naweza kulala, nawasihi mtakaokuwa macho mhakikishe chat inaendelea hapa bila kuvunja misingi wala sheria za Jamii Forum, pia msisahau kwenda kwenye ule uzi wetu kule jukwaa la malalamiko na kuweka nukta, msikoment ni nukta tu inatosha.
Tupeane Likes, tushirikiane pasiwe na ubaguzi, sisi wote ni sawa bila matabaka
Kapuku wote ni ndugu. Hawa wakongwe wajipange sawasawa.
 
Mi anytime naweza kulala, nawasihi mtakaokuwa macho mhakikishe chat inaendelea hapa bila kuvunja misingi wala sheria za Jamii Forum, pia msisahau kwenda kwenye ule uzi wetu kule jukwaa la malalamiko na kuweka nukta, msikoment ni nukta tu inatosha.
Tupeane Likes, tushirikiane pasiwe na ubaguzi, sisi wote ni sawa bila matabaka
Usihofu tunalendeleza libeneke kama kawa
 
Mi anytime naweza kulala, nawasihi mtakaokuwa macho mhakikishe chat inaendelea hapa bila kuvunja misingi wala sheria za Jamii Forum, pia msisahau kwenda kwenye ule uzi wetu kule jukwaa la malalamiko na kuweka nukta, msikoment ni nukta tu inatosha.
Tupeane Likes, tushirikiane pasiwe na ubaguzi, sisi wote ni sawa bila matabaka
We mbona unanibagua sasa? [emoji39]
 
Back
Top Bottom