Makapuku Forum

Makapuku Forum

Moja kati ya post yenye comments nyingi ni "wazee wenzangu wa kuweka mzigo /kubet" ni post ambayo watu wanajadili mechi za kila siku. Ina Miaka mawili na nusu na ina 28k comments (28000/365 x 2.5 ) =wastani wa comments 30 kwa siku. Hii ya makapuku ina siku 3 comments karibu 3k. Unaweza kupata picha jinsi movement hii inavyotikisa.
................................
Hesabu zangu tu :
After 3 months tutakuwa na zaidi ya
1M views
Comment sijajua zitafika ngap
.............................................
 
Back
Top Bottom