Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa moto huu tutauunguza kabisa uzi wenyewe 😂Haya huo hapo.
Uchemshe mkuu [emoji23][emoji23]View attachment 2932264
Hatari 😅[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Salam nimezipokea, nami nakusalimu mkuu.Nawasalimu wote Lee Atoto makaveli10 Obe Makiwendo Tresor Mandala moudgulf Grahams Pendaelli
Nakusalimu sana kipenzi changu 💕 Shunie mrembo usiye makuu wala Babamba 🥰
Kifungo cha maisha kinamuhusu.Silvano Massawe (42) mkazi wa Kijiji cha Namwai Wilayani ya Siha mkoani hapa mkulima, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya wilaya na kusomewa shitaka la kumuingilia kinyume na maumbile mwanafunzi wa kike (13) kidato cha kwanza shule moja Wilayani humo, ambaye ni binti yake wa kuzaa.
Mwendesha mashitaka wa Serikali David Chisimba akisoma mashitaka mbele ya Hakimu mfawidhi wa Mahakama hiyo Elibahati Petro, amesema tukio hilo lilitokea Februari 21 mwaka huu katika Kijiji hicho.
Amesema siku ya tukio mwanafunzi huyo alikuwa nyumbani nyakati za mchana ambapo mshitakiwa alimuingilia kinyume na maumbile huku akifahamu fika kuwa kufanya hivyo ni jambo mbaya na ni kinyume na sheria.
"Amefanya kosa kinyume na kifungu namba 154 (1) (b) na (2) cha Sheria ya kanuni ya Adhabu sura ya 16 ilivyofanyiwa marejeo mwaka 2022," amesema Chisimba.
Baada ya kusomewa mashitaka yake mshatikiwa huyo ameyakana yote lakini ameshindwa kutimiza masharti ya dhamana hivyo amepelekwa rumande hadi 21 Machi mwaka huu atakapokuja kusomewa hoja za awali.
View attachment 2932368
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa moto huu tutauunguza kabisa uzi wenyewe [emoji23]