Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili zoezi lilishafeli leo siku ya 5 bado siku bado siku 2 zoezi lifike tamati. Kuna mahali wamekosea ili swala
Hadi jana walikua wamehesabu almost watu million 30+
Nyumba zinaonekana kwenye mtandao wao,kwamba sehemu Fulani hujafika,acha kunadi ujinga wakoNilijua tu. Hao ndio MABOSS wa Tanzania. Kazi zao huwa Ni kuwatishia watu huku wao hawajui chochote kinachoendelea.
Kifuatacho hapo Ni KUPIKA DATA kumfurahisha huyo a mpuuzi kama wanavyopika data za chanjo.
Kufika siyo kuhesabu. Ndizi wewe.Nyumba zinaonekana kwenye mtandao wao,kwamba sehemu Fulani hujafika,acha kunadi ujinga wako
Cha msingi ufike kila nyumba..then kwa kuwa wewe so mtanzania ndiyo utapika hizo dataKufika siyo kuhesabu. Ndizi wewe.
Naweza nikafika na nisihesabu, au nikafika Kuna watu 10 nikaheaabu mmoja au kama hakuna mtu NAPIKA tu hakuna kurudia
Inaonekana wewe Ni Mwalimu.Cha msingi ufike kila nyumba..then kwa kuwa wewe so mtanzania ndiyo utapika hizo data
Ha ha ha ha daah we kamama acha kutupikia pilau buanaah hakika unafikisha kaya miaaaNinazunguka mtaa walionipa nacheckcheck nyumba then naenda kukaa mwembeni na kishikwambi changu napika mapilau ya kutosha nawapelekea wale, Cha kufia Nini.
Akikaa vibaya atapigwa na Contra-entry vilevile 🤣Anataka double entry huyu
Ingekua wameajiri Watumishi hata haya yasingetokea,,[emoji848]Mtakwimu mkuu wa serikali NBS, Dr. Albina Chuwa amewatahadharisha makarani kuwa hawatalipwa kiasi cha malipo kilichobaki endapo hawatafikisha kaya 100 kila mmoja, wakati akieleza mwenendo wa zoezi hilo tangu kuanza kwake mpaka hivi sasa. Amesema lengo ni kuhakikisha watu wote wanahesabiwa.
Dr. Chuwa amesema kama kuna karani amehesabu eneo lenye kaya pungufu, kuanzia 50-60 anatakiwa kwenda katika eneo jingine. "Karani asijikute kwamba eneo lake la kuhesabu watu lina kaya 50-60, akakaa akarelax, hapana, tulisema kwamba kama eneo lina kaya 50 au pungufu yu 50, lazima atakwenda kwenye eneo lingine, atakwenda kwenye eneo lingine, atakwenda katika eneo lingine, katika ileile kata, au kata nyingine kwa ajili ya kuharakisha kumaliza kazi hii mapema".
Zoezi hili la sensa litaendelea kwa siku 7 nchini, na sensa ya majengo itafanyika kwa siku 3.
View attachment 2336056
View attachment 2336058
Hivi hawakufanya pretesting kuweza kujua kaya moja inachukuwa muda gani na kila msensa mmoja anatakiwa apewe kaya ngapi ili kuweza kumaliza kwa siku saba?Ili zoezi lilishafeli leo siku ya 5 bado siku bado siku 2 zoezi lifike tamati. Kuna mahali wamekosea ili swala
Hadi jana walikua wamehesabu almost watu million 30+
hajafika umri wa retirement huyu?Mtakwimu mkuu wa serikali NBS, Dr. Albina Chuwa amewatahadharisha makarani kuwa hawatalipwa kiasi cha malipo kilichobaki endapo hawatafikisha kaya 100 kila mmoja, wakati akieleza mwenendo wa zoezi hilo tangu kuanza kwake mpaka hivi sasa. Amesema lengo ni kuhakikisha watu wote wanahesabiwa.
Dr. Chuwa amesema kama kuna karani amehesabu eneo lenye kaya pungufu, kuanzia 50-60 anatakiwa kwenda katika eneo jingine. "Karani asijikute kwamba eneo lake la kuhesabu watu lina kaya 50-60, akakaa akarelax, hapana, tulisema kwamba kama eneo lina kaya 50 au pungufu yu 50, lazima atakwenda kwenye eneo lingine, atakwenda kwenye eneo lingine, atakwenda katika eneo lingine, katika ileile kata, au kata nyingine kwa ajili ya kuharakisha kumaliza kazi hii mapema".
Zoezi hili la sensa litaendelea kwa siku 7 nchini, na sensa ya majengo itafanyika kwa siku 3.
View attachment 2336056
View attachment 2336058
Utapikaje, utapata wapi ba za nida utakazopika?? Na ukidiunle entry lazima kishikwambi kitakataa[emoji13][emoji13]. Kupika data sio mchezo haswa ukiwa jobless mwenye elimu ambayo hukufanya practicles za kutosha, Elimu dunia hii, Elimu ya kukaririshwa, holder wa degree hawez hata kujieleza[emoji57][emoji57][emoji57]hawana uwezo wa kupika data hawaKufika siyo kuhesabu. Ndizi wewe.
Naweza nikafika na nisihesabu, au nikafika Kuna watu 10 nikaheaabu mmoja au kama hakuna mtu NAPIKA tu hakuna kurudia