Makarani wa sensa hawatalipwa malipo yaliyobaki kama hawatafikisha kaya 100 kila mmoja

Mwenendo nzima wa sensa hii umenifanya niamini kilio cha vyama vya upinzani kuwa uchaguzi mkuu uliopita ulichakachuliwa.

Matokeo ya sensa hii sidhani kama yatakuja kuakisi uhalisia. 🤔
 
Ili zoezi lilishafeli leo siku ya 5 bado siku bado siku 2 zoezi lifike tamati. Kuna mahali wamekosea ili swala

Hadi jana walikua wamehesabu almost watu million 30+
  • Kama ni kweli, nadhani Sensa ya Majaribio nayo ilichakachuliwa au haikuandaliwa vizuri ikapelekea maandalizi yasiyo halisia.
  • Idadi ya makarani ni ndogo sana! Makarani kama laki 2 hivi wawafikie watu karibia 60 m kwa dodoso lile. Inatia shaka, hasa mashambani
 
Nilijua tu. Hao ndio MABOSS wa Tanzania. Kazi zao huwa Ni kuwatishia watu huku wao hawajui chochote kinachoendelea.

Kifuatacho hapo Ni KUPIKA DATA kumfurahisha huyo a mpuuzi kama wanavyopika data za chanjo.
Nyumba zinaonekana kwenye mtandao wao,kwamba sehemu Fulani hujafika,acha kunadi ujinga wako
 
Nyumba zinaonekana kwenye mtandao wao,kwamba sehemu Fulani hujafika,acha kunadi ujinga wako
Kufika siyo kuhesabu. Ndizi wewe.

Naweza nikafika na nisihesabu, au nikafika Kuna watu 10 nikaheaabu mmoja au kama hakuna mtu NAPIKA tu hakuna kurudia
 
Kufika siyo kuhesabu. Ndizi wewe.

Naweza nikafika na nisihesabu, au nikafika Kuna watu 10 nikaheaabu mmoja au kama hakuna mtu NAPIKA tu hakuna kurudia
Cha msingi ufike kila nyumba..then kwa kuwa wewe so mtanzania ndiyo utapika hizo data
 
Ninazunguka mtaa walionipa nacheckcheck nyumba then naenda kukaa mwembeni na kishikwambi changu napika mapilau ya kutosha nawapelekea wale, Cha kufia Nini.
Ha ha ha ha daah we kamama acha kutupikia pilau buanaah hakika unafikisha kaya miaaa
 
Sensa wizi mtupu tunakadiriwa tutahesabiwa watanzania 64 million, na serikali ilitenga takribani 629 billion ina maana kuhesabu mtanzania mmoja kwa gharama ya 9 million na ushee.

Kweli hamna harufu ya ufisadi hapo?
 
Haya makarani Majobless komaeni na kazi aisee[emoji1787]
 
Viongozi wa serikali za mitaa walikuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kukusanya taarifa hizo hata kwa muda wa mwezi mzima.

Sensa ingefanyika kama ilivyo miaka yote tu.
 
Ingekua wameajiri Watumishi hata haya yasingetokea,,[emoji848]
 
Ili zoezi lilishafeli leo siku ya 5 bado siku bado siku 2 zoezi lifike tamati. Kuna mahali wamekosea ili swala

Hadi jana walikua wamehesabu almost watu million 30+
Hivi hawakufanya pretesting kuweza kujua kaya moja inachukuwa muda gani na kila msensa mmoja anatakiwa apewe kaya ngapi ili kuweza kumaliza kwa siku saba?
 
hajafika umri wa retirement huyu?
 
Kufika siyo kuhesabu. Ndizi wewe.

Naweza nikafika na nisihesabu, au nikafika Kuna watu 10 nikaheaabu mmoja au kama hakuna mtu NAPIKA tu hakuna kurudia
Utapikaje, utapata wapi ba za nida utakazopika?? Na ukidiunle entry lazima kishikwambi kitakataa[emoji13][emoji13]. Kupika data sio mchezo haswa ukiwa jobless mwenye elimu ambayo hukufanya practicles za kutosha, Elimu dunia hii, Elimu ya kukaririshwa, holder wa degree hawez hata kujieleza[emoji57][emoji57][emoji57]hawana uwezo wa kupika data hawa
 
Ndio maana nimeona Kuna makarani wanatumia pencel badala ya pen
Lengo wanijazie wenyewe au ndio utaratibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…