Makarani wa vyama vyote na wahudumu wa IEBC waanza kupitia fomu zote

Kwa tofauti ya kura ya zaidi ya Milion moja, sioni namna yoyote kama huo ujumlishaji unaweza kugeuza matokeo. Huo mfumo wa kumjulisha manually unaweza kuwa na maana sana kama tofauti ya kura baina ya wagombea ingekuwa ndogo.

Lets we wait and see.
Kwa afrika hii manual ndio yafaa na Ya uhakika
 
Nikisoma najua tu nationality na kabila yako kabisa.

Sent From fx.991
 
Mimi nadhani hatuna lolote la kujifunza kutoka Kenya, let us go back to square zero
 
Yawezekana ukawa sawa but hata kama hakuna Democracy, angali KENYA wanatuzidi demokrasia sisi wazee wa porojo
Wanatuzidi kwa takwimu zipi? Au kwa maneno ya humu JF! tusaidie huo utafiti tuone tafadhali!

Japo mimi sifungamani na vyama vya siasa, lakini kitu ambacho kenya inaizidi tz ni kubadili vyama vya siasa vya kuongoza nchi! Na hicho sio kigezo pekee cha demokrasia!

Ukiangalia democracy index ya 2016, tz inaizidi Kenya.
 

We ni mkenya au vipia maana naona kiswahili yako ni ya Manzese Dar es salaam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni sababu zipi ziliwafanya wasipitie wakati wa kuhesabu kura na kutoa matokeo hadi waje kuzipitia na kuzichunguza sasa hivi?
 
Sijawahi ona tume mbovu kama hii ya Kenya.
Na kwa kukurupuka huku ingeweza sababisha madhara makubwa Zaidi kwa Wakenya.
Eti inatangaza matokeo then baada ya kusikia harufu za damu inadai matokeo sio halali.
Na wewe unakuwaga na ufinyu sana wa kutambua mambo.
Demokrasia ipi unazungumza wakati watu wamerudi vijijini na tayari watu wameshatangulizwa kwa Maulana??
 
hakuna sheria inayosema tangaza kwanza matokeo ya system then ndo tuje kuverify kwa forms kama ni matokeo ya kweli au sio..hakuna hiko kitu,tume yako walikua wanatangaza matokeo ya system without evidence ya wanachotangaza,kama wewe ni mkenya basi unajifanya kipofu na kiziwi kwenye reality things
 
wanaosupport kuwa Kenya kuna Demokrasia zaidi ya Tanzania wanashangaza sana,Wakenya kila kitu cha msingi wanapata through Protesting watu lazima waumie kila siku,hii tume ya sasa imeweka through Protesting na bado ni mbovu kuliko halafu bado tunaiita hiyo ina Demokrasi??
 
Tatizo mnashinda JF tu hamsikilizi source zingine. Imeelezwa kinaga ubaga kwamba mahakama ilitoa ruling kwamba matokeo yatumwe haraka kabla ya hizo karatasi kuepusha uchakachuzi. NASA wenyewe ugomvi hauko hapo ugomvi wao ni kwamba mfumo wa urushaji matokeo moja kwa moja umechezewa. Hapo nao wamekurupuka walitakiwa wasubiri uhakikisho kupitia form no 34 A kuliko kuamsha vurugu za wafuasi wao
 
At least they have tried to cool pple dwn.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…