Hii nchi tabu sana; huwezi kutofautisha kati ya wasomi na wasio wasomi.....wote uwezo wao wa kufikiri unafanana tu; wako kama matunguri.
1. Timu ya taifa, taifa stars, imesusiwa na baadhi ya watu. Kisa?!! Wachezaji wa Simba walioitwa hakuna aliyecheza hata mmoja...waliokuwa benchi. Manina wallah!!
2. Hujamaliza kutafakari hilo, asubuhi yote hii unakutana na mada ya linyumbu limoja lililokosa kazi ya kufanya eti limekomalia udini katika masuala ya kitaifa. Pumbavu, lofa, nafiki, jinga, tutusa, bonto, zoba na ndondo kabisa. Nilikumbishe tu hili nyumbu zoba kuwa wakati wa magufuli katika mawaziri 18 muislamu alikuwa MMOJA tu.