Makatibu wapya CCM: Waislam wako 21, Wakristo 11. Hali inatisha sanaaaaa!

Makatibu wapya CCM: Waislam wako 21, Wakristo 11. Hali inatisha sanaaaaa!

Hali ni mbayaaaa kwelikweli !!.
Umetumia kigezo gani kujua kuwa ni Waislam au Wakristo?

Mfano ukiona jina: Deogratius Ndejembi si unaweza fikia ni Mkristo?
Au jina kama Ndugu Suleiman Husein si unaweza fikiria ni Muislamu?

Rekebisha title ya uzi wako sasa.
Useme 21 wana majina ya Kiislamu ila huna uhakika, labda kama una evidence yoyote mtaalamu!!
 
Aisee, ukweli ni kuwa Kuna chuki kubwa sana dhidi ya Waislamu, sana. Hili hapa chini hata halisemwi na mleta mada na haters wenzake;

ANGALIA ORODHA YA MAWAZIRI HAO 28.
WAKRISTO NI 17

WAISLAMU NI 11 TU

1.Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

2 Prof. Palamagamba J.A. Kabudi Ofisi ya Waziri Mkuu – Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu

3 Prof. Riziki Silas Shemdoe Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI

4 Deus Clement Sangu Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano

5 Ridhiwani Jakaya Kikwete Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

6 Prof. Kitila Alexander Mkumbo Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji

7 Joel Arthur Nanauka Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana

8 Mhandisi Hamad Y. Masauni Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira

9 Mahmoud Thabit Kombo Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

10 Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

11 Patrobas Paschal Katambi Mambo ya Ndani ya Nchi

12 Bal. Dkt. Bashiru Ally Kakurwa Mifugo na Uvuvi

13 Daniel Godfrey Chongolo Kilimo
Daniel Godfrey Chongolo

14 Prof. Adolf Faustine Mkenda Elimu, Sayansi na Teknolojia

15 Mohamed Omary Mchengerwa Afya

16 Dkt. Dorothy O. Gwajima Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum

17 Jumaa H. Aweso Maji

18 Prof. Makame M. Mbarawa Uchukuzi

19 Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

20 Judith Salvio Kapinga Viwanda na Biashara

21 Anthony P. Mavunde Madini
Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

20 Judith Salvio Kapinga Viwanda na Biashara

21 Anthony P. Mavunde Madini

22 Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji Maliasili na Utalii

23 Khamis Mussa Omar Fedha

24 Dkt. Leonard Douglas Akwilapo Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

25 Paul Christian Makonda Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

26 Abdallah Hamis Ulega Katiba na Sheria

27 Dkt. Juma Zuberi Homera Nishati

28 Masanja Kungu Kadogosa Ujenzi
Majina na wizara nyingi zimethibitish
 
Kwahiyo Chief Mkwawa je History yake ya kupigana na Wajerumani ni ya Uongo?
Lakini mbona Jamii ya Pwani haijawahi kupigana na Wakoloni
Hakuna jamii yoyote ya Pwani iliyowahi kuingia vitani(armed uprising) na wakoloni, wao ilikuwa ni longolongo za kwenye vibaraza vya kahawa huku wakililia credits wasizostahili.
 
Aisee, ukweli ni kuwa Kuna chuki kubwa sana dhidi ya Waislamu, sana. Hili hapa chini hata halisemwi na mleta mada na haters wenzake;

ANGALIA ORODHA YA MAWAZIRI HAO 28.
WAKRISTO NI 17

WAISLAMU NI 11 TU

1.Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba

2 Prof. Palamagamba J.A. Kabudi Ofisi ya Waziri Mkuu – Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu

3 Prof. Riziki Silas Shemdoe Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI

4 Deus Clement Sangu Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano

5 Ridhiwani Jakaya Kikwete Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora

6 Prof. Kitila Alexander Mkumbo Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji

7 Joel Arthur Nanauka Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana

8 Mhandisi Hamad Y. Masauni Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira

9 Mahmoud Thabit Kombo Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

10 Dkt. Rhimo Simeon Nyansaho Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

11 Patrobas Paschal Katambi Mambo ya Ndani ya Nchi

12 Bal. Dkt. Bashiru Ally Kakurwa Mifugo na Uvuvi

13 Daniel Godfrey Chongolo Kilimo
Daniel Godfrey Chongolo

14 Prof. Adolf Faustine Mkenda Elimu, Sayansi na Teknolojia

15 Mohamed Omary Mchengerwa Afya

16 Dkt. Dorothy O. Gwajima Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum

17 Jumaa H. Aweso Maji

18 Prof. Makame M. Mbarawa Uchukuzi

19 Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

20 Judith Salvio Kapinga Viwanda na Biashara

21 Anthony P. Mavunde Madini
Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

20 Judith Salvio Kapinga Viwanda na Biashara

21 Anthony P. Mavunde Madini

22 Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji Maliasili na Utalii

23 Khamis Mussa Omar Fedha

24 Dkt. Leonard Douglas Akwilapo Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

25 Paul Christian Makonda Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

26 Abdallah Hamis Ulega Katiba na Sheria

27 Dkt. Juma Zuberi Homera Nishati

28 Masanja Kungu Kadogosa Ujenzi
Majina na wizara nyingi zimethibitish
Yaani na Bashite, Kabudi, Mwigulu
Nao hawa unawahesabu kwenye wakristo?
Huyu mama yenu ni mdini
Jeshini amejaza ISIS
Wizara nyeti amejaza watu wa dini yake
Leo CCM nzima kajaza wala kitimoto Kwa Siri
Tazama wizara ya fedha
Wizarara ya Afya
Tamisemi
Utumishi wa umma
Kavunja katiba naibu.wazir wa elimu ni Mzanzibari,na elimu sio suala la Muungano
 
Tatizo nyie wagalatia ni wezi na mafisadi wakubwa, ndiomaana hamuaminiwi nowadays
 
Hii nchi tabu sana; huwezi kutofautisha kati ya wasomi na wasio wasomi.....wote uwezo wao wa kufikiri unafanana tu; wako kama matunguri.

1. Timu ya taifa, taifa stars, imesusiwa na baadhi ya watu. Kisa?!! Wachezaji wa Simba walioitwa hakuna aliyecheza hata mmoja...waliokuwa benchi. Manina wallah!!

2. Hujamaliza kutafakari hilo, asubuhi yote hii unakutana na mada ya linyumbu limoja lililokosa kazi ya kufanya eti limekomalia udini katika masuala ya kitaifa. Pumbavu, lofa, nafiki, jinga, tutusa, bonto, zoba na ndondo kabisa. Nilikumbishe tu hili nyumbu zoba kuwa wakati wa magufuli katika mawaziri 18 muislamu alikuwa MMOJA tu.
Kwa hiyo we mbwa unayejiona una akili hayo ndiyo malipizi?
 
Yaani na Bashite, Kabudi, Mwigulu
Nao hawa unawahesabu kwenye wakristo?
Huyu mama yenu ni mdini
Jeshini amejaza ISIS
Wizara nyeti amejaza watu wa dini yake
Leo CCM nzima kajaza wala kitimoto Kwa Siri
Tazama wizara ya fedha
Wizarara ya Afya
Tamisemi
Utumishi wa umma
Kavunja katiba naibu.wazir wa elimu ni Mzanzibari,na elimu sio suala la Muungano
Chama chako pendwa chadema mnacho kiita cha wapenda haki unaweza ukanileta takwimu za usawa wa kidini kwenye uongozi wake?
 
Back
Top Bottom