Makatibu wapya CCM: Waislam wako 21, Wakristo 11. Hali inatisha sanaaaaa!

Sina muda huo
Mbona umepata muda wa kutuleta za ccm?
Kwa akili zenu hizi za kipumbavu ndo mtegemee kuiondoa ccm madarakani?
Huoni kuwa hizi mada zenu za kijinga ndo zinaibust ccm kwenye propaganda zake kuwa mna chuki na Samia Kwa sababu ya dini yake?
Hivi nyinyi wagaratia ni nani aliye wadanganya kuwa nyinyi ni raia daraja la kwanza na waislamu ni daraja la pili ndani ya nchi hii?
 
lying bitch,

Majaliwa PM ni muslim, Mbarawa ni muslim, Mwinyi (raisi wa Zanzibar), Makamba, nape, Umi mwalimu, hamisi kigwangala, Jafo, ulega plus samia makamu wa raisi wote walikuwa muslims isitoshe Magu kwa kutaka kuwafurahisha (if only he knew) mpaka alimleta mfalme wa moroko kuja kuwajengea msikiti mkubwa, lkn bado haikumsaidia chochote.

B.Mkapa aliwapa muslims University yao "Morogogo Muslim University of Morogoro (MUM) is a private university in Morogoro, Tanzania, established to provide quality higher education within an Islamic framework. The university was founded in 2004 when President Benjamin Mkapa granted it to the Muslim Development Fund (MDF), an organization chaired by the late Kitwana Kondo, with board members including Ramadhani Dau and Abdulrahman Kinana, the former Vice Chairman of Tanzania’s ruling partytoa chuo kikuu kwa muslims" Muslim University of Morogoro - Wikipedia.

you see no one did more for muslims hapa tanzagiza kama Christians, kwanza muslims hata live better kama raisi akiwa Christian klk sasa hivi ambapo corruption, nepotism, wizi, dhuluma, rushwa vimetamalaki kila mahali na wahanga wakubwa ni muslims pia, nani anahamisha na kufukuza muslims kupisha makontena? nani mtetezi wa muslims wa chini hapa tanzagiza? nani anachoma masoko na kuhamisha machinga au kwenye machinga hakuna muslims wapi mtetezi wao? ...
Kwa hiyo Sasa hivi kwenye serikali ya Samia hakuna mawaziri wagaratia?
Hivi nyinyi wagatia aliye wapa mamlaka ya kujiona nyinyi ni raia daraja la kwanza ni nani?
 
Kwa hiyo umepoteza muda wako woote kuhesabu hao .je umetumia njia gani kutambua hawa ni wakristo na hawa ni Waislamu?
 
Mbona umepata muda wa kutuleta za ccm?
Kwa akili zenu hizi za kipumbavu ndo mtegemee kuiondoa ccm madarakani?
Huoni kuwa hizi mada zenu za kijinga ndo zinaibust ccm kwenye propaganda zake kuwa mna chuki na Samia Kwa sababu ya dini yake?
Hivi nyinyi wagaratia ni nani aliye wadanganya kuwa nyinyi ni raia daraja la kwanza na waislamu ni daraja la pili ndani ya nchi hii?
Mimi nitakemea kosa lolote bila kujali limetenda na nani?
Sina shida na dini ya Samuya
Me napinga nepotism
Utekaji na mauaji ya Watanganyika.
Ufisadi
Ukandamizaji
Wizi wa uchaguzi.
Basi kama hata analeta waislam wake watu smart kichwani sio akina Wanu
 
Kwa hiyo Sasa hivi kwenye serikali ya Samia hakuna mawaziri wagaratia?
Hivi nyinyi wagatia aliye wapa mamlaka ya kujiona nyinyi ni raia daraja la kwanza ni nani?

umedandia treni kwa mbele, nilikuwa namjibu aliyesema kabla ya uraisi wa Samia waziri muslim alikuwa 1 tu, hivyo labda ungemuuliza huyo jamaa aliyesema hivyo, mimi nilijibu kumuonyesha kwamba ni muongo, kulikuwepo na mawaziri wengi muslims na siyo 1 kama alivyodai ...
 
Mimi nitakemea kosa lolote bila kujali limetenda na nani?
Sina shida na dini ya Samuya
Me napinga nepotism
Utekaji na mauaji ya Watanganyika.
Ufisadi
Ukandamizaji
Wizi wa uchaguzi.
Basi kama hata analeta waislam wake watu smart kichwani sio akina Wanu
Huna akili umeanza kukana maneno uliyo yaandika mwenyewe?
Hii fikra ya kujiona nyinyi ni daraja la kwanza ndani ya nchi hii msipo itoa kichwani itawatesa sana na msipo kuwa makini mtairithisha Kwa vizazi vyenu.
Ww Leo hii hata nchi ikipngozwa na mapadri itakusaidia nn kama sio utahira.
 
Mkuu una ubongo wa bata au umevimbiwa kitimoto?
Nimekwambia uovu hata angeutenda mzazi wangu nitaupinga.
Kwani waliouliwa, kutekwa, machinga kufukuzwa, wanaokosa dawa, maji na barabara Kwa sababu ya ufisadi ni wakristo tu?
Me napinga Samuya sababu ya matendo yake sio dini yake
Tulimpinga JPM hivi hivi
 
Hali ni mbayaaaa kwelikweli !!.
Samia hana political base.
Hana wa kumtetea hasa huku Tanganyika
Mbaya zaidi aliua watanganyika, hii imemletea chuki kubwa kwa wananchi.
Anachofanya sasa ni kushika madaraka kwa wale anaowaamini.
Wauaji walitoka Zanzibar
Sasa kuna Zanzibarisation of the Cabinet/Govt.
Kinachofuata ni Islamisation ya CCM-CCM ina silimu.
Mizee mijinga kama Wassira inakenua meno tu.
 
Mkuu una ubongo wa bata au umevimbiwa kitimoto?
Nimekwambia uovu hata angeutenda mzazi wangu nitaupinga.
Kwani waliouliwa, kutekwa, machinga kufukuzwa, wanaokosa dawa, maji na barabara Kwa sababu ya ufisadi ni wakristo tu?
Me napinga Samuya sababu ya matendo yake sio dini yake
Tulimpinga JPM hivi hivi
Usibadilishe mada kwani hii mada inaongelea maovu au mada inaongelea usawa wa kidini kwenye nafasi za uongozi?
Na ww hapo si umemsapoti mtoa mada Kwa kumuita Samia mdini eti Kwa sababu ameteuwa watu wenye majina ya kiarabu?
 
Udini anao ndio + nepotism, mauaji, utekaji n. K
Me napinga yote na udini ukiwamo.
 
Kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022 Waislamu wapo wengi sana kuliko wakristo Tanzania

So kuona kwenye sekta fulani hakuna uwiano ni suala la kawaida
 
Usibadilishe mada kwani hii mada inaongelea maovu au mada inaongelea usawa wa kidini kwenye nafasi za uongozi?
Na ww hapo si umemsapoti mtoa mada Kwa kumuita Samia mdini eti Kwa sababu ameteuwa watu wenye majina ya kiarabu?
Udini anao ndio + nepotism, mauaji, utekaji n. K
Me napinga yote na udini ukiwamo.
 
Usibadilishe mada kwani hii mada inaongelea maovu au mada inaongelea usawa wa kidini kwenye nafasi za uongozi?
Na ww hapo si umemsapoti mtoa mada Kwa kumuita Samia mdini eti Kwa sababu ameteuwa watu wenye majina ya kiarabu?
kwako wewe samia ni mdini au sio mdini?
 
Back
Top Bottom