Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Yetu macho
Aya niambie sababu inayo kufanya ww umuone ni mdini.Udini anao ndio + nepotism, mauaji, utekaji n. K
Me napinga yote na udini ukiwamo.
Kwani ww mtu mdini anakuwa na sifa zip?kwako wewe samia ni mdini au sio mdini?
Kwani kwako wewe mtu mdini ana sifa zipi?Kwani ww mtu mdini anakuwa na sifa zip?
Kwamba ?Mtu mweusi ni bora ya nyani, hata akae Marekani miaka 20 ustaarabu sifuri, ht asome level ya uprofesa bado anaamini waislam wote duniani ni ndugu zake. Mtu mweusi ni aibu! Samia ni mbaguzi kwa misingi ya dini, ni mdini sana.
Mm sizijui na ndio maana mm sijamita mtu mdini ,ndio maana nataka nyinyi mnao sema kuwa Samia ni mdini mtuambie kinacho wafanya mumuone Samia ni mdini yaani sababu ni zip?Kwani kwako wewe mtu mdini ana sifa zipi?
nonsense sana gentleman
mbona kamati kuu ya chadema taifa wote waKristo gentleman na hakuna tatizo lolote?
na wala hakuna mwenyekiti wa chadema wa mkoa au wilaya alie muisilamu?![]()
Kwa nn analysis Yako uliamgalia dini tuuu? Hujazungumza lolote kuhusu; age, gender, education nk?Hali ni mbayaaaa kwelikweli !!.
Mshukuruni Mkapa aliyewapa bure majengo na ardhi ya serikali pale Morogoro kuwa chuo kikuu cha waislamu, lla sivyo mungebaki tu na radio Imani, jeuri ya kuwa na vyuo 4 hamna, sijui wangapi wamechaguliwa kujiunga na hicho chuo chenu mwaka huu.Muislam university 1 tu imebadilisha kila kitu. Vikipatikana 4 itakuwaje?
Mimi mnisaidie tu, huwa mnazitambuwa dini za watu kwa kutumia software gani?Hali ni mbayaaaa kwelikweli !!.
Mimi mnisaidie tu, huwa mnazindambuwa dini za watu kwa kutumia software gani?
Hapa umepoteza credibility ya kusimamia maadili yanayochochea chuki za kidini.Mtoa Mada Ni Chadema kwao uko kunanuka Udini
Tena wa kimadhehebu
Chakushangaza anajipa hadhi ya kuongelea CCM kwenye Udini
Kweli uyu Carlos The j. wa manyamba
Chadema Waislamu hawana nafasi
Lkn hata Wakristo wanabaguliwa kimadhehebu yao!!!!
Kwasasa KKKT wanatupwa nje ya Chama na Wakatoliki!!!!!!!!
CCM ndio Chama pekee kipo huru na kitanzi cha kidini
Waislamu wapo
Wakristo wapo
Wakristo Wasabato wamo
Wakristo KKKT wamo
Wakristo katoliki wamo
Nk,
Majina ya watu Tanzania kwa 99% yanaendana na dini zaoMimi mnisaidie tu, huwa mnazitambuwa dini za watu kwa kutumia software gani?
Hivi mtu kama Makonda hata kama anakwenda kanisani ana Ukristo gani? Mnajuwa hata maana ya dini kweli?Majina ya watu Tanzania kwa 99% yanaendana na dini zao
Hapa umepoteza credibility ya kusimamia maadili yanayochochea chuki za kidini.
Wewe huna tofauti na mleta mada ni kama Mohammed na Muddy au James na Jimmy ni mtu yuleyule tu mmoja.