Hii si mbinu ya kuiuwa Chadema haiwezi kufanikiwa.Mmi sijaleta Mada ya kidini
Lkn aya Mayumbu yanajiona yanaweza kutengeneza Ustawi wa kidini
Wkt kwao kumeoza na Dini ya upande mmoja tu!!!!
mpaka aibu
Pale Mahakamani
Mwenyekiti Aleluyaaaaa !!!
Mashahidi wake wote kutokea Chadema
nawao Aleluyaaaaa !!!
Chama cha Siasa au Saccos ya kidini!!!
Kilichokuwa kimeujaza moyo wako sasa umeamuwa kukiweka hadharani, nilidhani una japo akili kidogo kumbe ndio walewale kina Mwaipopo.Mana Chadema kwasasa kinasapotiwa Kikristo sio kisiasa
tena
Lissu sio mwanasiasa tena ni Baba paroko yule au NABII Mtume nk.
Makonda ni Mkristo, anapendwa sana na Walokole wengi.Hivi mtu kama Makonda hata kama anakwenda kanisani ana Ukristo gani? Mnajuwa hata maana ya dini kweli?
Nani ananufaika naa kiongozi ambaye ni dini moja na yeye zaidi ya familia yake?
Wanasiasa asilimia kubwa wana majina ya Kiarabu na kizungu lakini hawana dini, dini siyo majina.
Ingekuwa hao mnaodhani ni Waislamu wanafikia kiwango cha Profesa Kighoma Malima au Mohamed Said basi hapo hata mimi mngenishawishi kuna udini, hawa ndio wadini sasa.
Huko nyuma makatibu CCM walikuaje?.. ilikua sahihi?Mpumbavu mkubwa! Unalinganisha wajumbe na watumishi wa CCM ngaxi ya mkoa???
Mkatibu hao ambao wengi wao ni walarushwa wakubwa,ndio wanaozalisha :'
1. Wabunge wote kwenye mikoa yao
2. Mayor na wenyeviti wa Halmashauri
3. Madiwani
4. Ndio mabosi wa makatibu wa CCM wilaya.
××× Ndio waliokula Rusha Dodoma kuvunja katib a ya CCM na kuleta mjane agombee urais×××
Hii si mbinu ya kuiuwa Chadema haiwezi kufanikiwa.
Dunia nzima vyama vyoye vikubwa vina base ambayo ndio strong hold ukianzia Marekani Warepublican na Democratic.
Ukienda Kenya hivyo hivyo Odinga alibamba kwa sababu ya strong hold zake Rutto akatobowa Mlima.
South Africa Inkatha Freedom party kimeshindwa kufurukuta kwa sababu kipo Kwazulu Natal na bado ANC imetobowa Kwazulu Natal.
Tanzania Ccm ina strong hold kwenye jamii duni zisizokwenda shule hawa ndio mtaji wa ccm, hatuna tatizo la kidini Tanzania ukitaka kujuwa nchi ambazo dini ndio kigezo nikutajie tena mojawapo ni Lebanon, Rais ni lazima awe Mkristo, Waziri lazima awe mwislamu wa Shia na Spika wa bunge ni lazima awe Mwislamu wa Sunni hii ni kwa mujibu wa katiba yao.
Ccm ndio chama kinachotumia turufu ya udini kwenye jamii duni ambazo hazijaelimika.
Kwahiyo unapingana na official research?Kwanza nikurekebishe maelezo yako kidogo kuusu Lebanon
Ni sawa Rais kutokea Cristian
Lkn Waziri mkuu ndio Sunni
Na Spika kutokea Shia,
Rutto kaungwa mkono na Wakikuyu wa mlimani
Japo yeye Rutto sio mkikuyu
Ni mkalenjini Kabila la Moi
Kaungwa mkono kwasababu za chuki za Kikuyu dhidi ya Odinga Mjaluo
Wakikuyu wanasema IKULU yao itaongozwa tu na Mkikuyu au Mkalenjin
Sio Mjaluo!!
Tanzania CCM inaungwa mkono na Watanzania walio wengi kuungwa mkono na walio wengi ni Ushindi wawazi kabisa!!!
Sababu wewe ukisema CCM inaungwa mkono na jamii hisiosoma
Sawa kwa mitazamo ya Chadema kutegemea tafiti za kimjini mjini
Chama cha Siasa kimsingi kinatakiwa kuungwa mkono na Jamii kubwa zaidi
CCM imefanikiwa ktk hilo kwa %100
Chadema wameacha kutafuta wafuasi Wasomi Wasomi wakawapigie kura!!
Kwasasa wamewageukia wafuasi wa ki Aleluyaaaaa kutokea Makanisani!!!!!!!
Namm nimetaka wajibu hilo swali wamekimbia ki AleluyaaaaaHuko nyuma makatibu CCM walikuaje?.. ilikua sahihi?
Nyerere 24 years katuachia umaskini wa kutupwa, Mwinyi 10’years akarudisha unafuu, Mkapa akauza mashirika na nyumba za serikali, Kikwete miaka 10 akafungua nchi kidiplomasia, Magufuli kaasidi utekaji na mauaji na kunyimwa demokrasia kamrithisha Samialying bitch,
Majaliwa PM ni muslim, Mbarawa ni muslim, Mwinyi (raisi wa Zanzibar), Makamba, nape, Umi mwalimu, hamisi kigwangala, Jafo, ulega plus samia makamu wa raisi wote walikuwa muslims isitoshe Magu kwa kutaka kuwafurahisha (if only he knew) mpaka alimleta mfalme wa moroko kuja kuwajengea msikiti mkubwa, lkn bado haikumsaidia chochote.
B.Mkapa aliwapa muslims University yao "Morogogo Muslim University of Morogoro (MUM) is a private university in Morogoro, Tanzania, established to provide quality higher education within an Islamic framework. The university was founded in 2004 when President Benjamin Mkapa granted it to the Muslim Development Fund (MDF), an organization chaired by the late Kitwana Kondo, with board members including Ramadhani Dau and Abdulrahman Kinana, the former Vice Chairman of Tanzania’s ruling partytoa chuo kikuu kwa muslims" Muslim University of Morogoro - Wikipedia.
you see no one did more for muslims hapa tanzagiza kama Christians, kwanza muslims hata live better kama raisi akiwa Christian klk sasa hivi ambapo corruption, nepotism, wizi, dhuluma, rushwa vimetamalaki kila mahali na wahanga wakubwa ni muslims pia, nani anahamisha na kufukuza muslims kupisha makontena? nani mtetezi wa muslims wa chini hapa tanzagiza? nani anachoma masoko na kuhamisha machinga au kwenye machinga hakuna muslims wapi mtetezi wao? ...
Odinga ameshinda chaguzi mara mbili Kenya ila hakutangazwa mshindi.Kwanza nikurekebishe maelezo yako kidogo kuusu Lebanon
Ni sawa Rais kutokea Cristian
Lkn Waziri mkuu ndio Sunni
Na Spika kutokea Shia,
Rutto kaungwa mkono na Wakikuyu wa mlimani
Japo yeye Rutto sio mkikuyu
Ni mkalenjini Kabila la Moi
Kaungwa mkono kwasababu za chuki za Kikuyu dhidi ya Odinga Mjaluo
Wakikuyu wanasema IKULU yao itaongozwa tu na Mkikuyu au Mkalenjin
Sio Mjaluo!!
Tanzania CCM inaungwa mkono na Watanzania walio wengi kuungwa mkono na walio wengi ni Ushindi wawazi kabisa!!!
Sababu wewe ukisema CCM inaungwa mkono na jamii hisiosoma
Sawa kwa mitazamo ya Chadema kutegemea tafiti za kimjini mjini
Chama cha Siasa kimsingi kinatakiwa kuungwa mkono na Jamii kubwa zaidi
CCM imefanikiwa ktk hilo kwa %100
Chadema wameacha kutafuta wafuasi Wasomi Wasomi wakawapigie kura!!
Kwasasa wamewageukia wafuasi wa ki Aleluyaaaaa kutokea Makanisani!!!!!!!
Nyerere 24 years katuachia umaskini wa kutupwa, Mwinyi 10’years akarudisha unafuu, Mkapa akauza mashirika na nyumba za serikali, Kikwete miaka 10 akafungua nchi kidiplomasia, Magufuli kaasidi utekaji na mauaji na kunyimwa demokrasia kamrithisha Samia
Katka miaka 60 ya Uhuru, wakirisro wametawala 2/3 (miaka 40)na umaskini huu wa Tanzania na ubadhirifu umetokana na wao
Angalia top ten ya mafisadi wakubwa wa nchi hii wanatoka wapi na maskendo yote makubwa ya wizi kina Mramba, Yona, Escrow, EPA ni wapi?
Kwahiyo unapingana na official research?
Odinga ameshindwa chaguzi mara mbili Kenya ila hakutangazwa mshindi.
NdioNadhani umekusudia Odinga kashinda mara mbili ???
CCM hakiunguwi mkono na raia wengi ndio maana hakitaki tume huru ya uchaguzi, kinatumia Ofisi ya msajili kuhujumu upinzani, hakitaki wagombea binafsi na pia kimeweka Sheria za vyama kutoungana.Tanzania CCM inaungwa mkono na Watanzania walio wengi kuungwa mkono na walio wengi ni Ushindi wawazi kabisa!!!
Sababu wewe ukisema CCM inaungwa mkono na jamii hisiosoma
Sawa kwa mitazamo ya Chadema kutegemea tafiti za kimjini mjini
Chama cha Siasa kimsingi kinatakiwa kuungwa mkono na Jamii kubwa zaidi
CCM imefanikiwa ktk hilo kwa %100
Chadema wameacha kutafuta wafuasi Wasomi Wasomi wakawapigie kura!!
Kwasasa wamewageukia wafuasi wa ki Aleluyaaaaa kutokea Makanisani!!!!!!!
Nyerere 24 years katuachia umaskini wa kutupwa, Mwinyi 10’years akarudisha unafuu, Mkapa akauza mashirika na nyumba za serikali, Kikwete miaka 10 akafungua nchi kidiplomasia, Magufuli kaasidi utekaji na mauaji na kunyimwa demokrasia kamrithisha Samia
Katka miaka 60 ya Uhuru, wakirisro wametawala 2/3 (miaka 40)na umaskini huu wa Tanzania na ubadhirifu umetokana na wao
Angalia top ten ya mafisadi wakubwa wa nchi hii wanatoka wapi na maskendo yote makubwa ya wizi kina Mramba, Yona, Escrow, EPA ni wapi?


Naona mnaanza kusuka mipango mapema kumuweka Rizimoko 2030. Itakuwa na jambo jema sana maana Wagalatia wa CCM hawatakubali, chama kitavunjika😁Mkuu umeniwahi kidogo nilitaka kuja na Andiko kama lako tofauti yangu ingekuwa kidogo sana!!!
Hongera kwa andiko zuri mkuu
Wakristo wametawala miaka 45
Waislamu miaka 25 kufikia sasa
Kwaiyo Waislamu wanadai miaka 20 ili twende sawa Kisheria mbele ya misingi
ya HAKI![]()