fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Namjua huyu toka miaka 20 iliyopita bro,tena nilikuwa naongea nae sana kuhusu mambo mengi sanaHaumjui wewe!
Namjua huyu toka miaka 20 iliyopita bro,tena nilikuwa naongea nae sana kuhusu mambo mengi sanaHaumjui wewe!
Ila we jamaa😂😂Naitwa Maghembe, ni muuzaji maarufu wa ma-hardware
Ni kweli,wangepinga kama hao waliochaguliwa wana sifa au hawana,sio dini zaoMnafeli sana mnapoleta udini.
Kama mnataka kuipinga ccm muipinge BILA KULETA SABABU ZA UDINI.
Mimi ni muislam lakini sikubaliani na ccm .ila ukiingiza dini yangu kwenye siasa lazma nitakupinga .kama kaamua kuwachagua waislam wenzake ni sawaa .ila haiondoi ukweli kuwa ccm ni chama kibaya.Ni kweli,wangepinga kama hao waliochaguliwa wana sifa au hawana,sio dini zao
Kwa sababu pia wanasema mungu ni mmoja ilipaswa wakubali hata wakiteuliwa Waislamu wote au Wakristo wote.Ndio maana Mimi atheist Huwa nawaita nyie THEISTS ni watu wabinafsi sana.
Sijawahi kusikia watu wasiokuwa na dini wanalalamika kutoteuliwa nafasi yoyote ile.
Ndio maana hizo dini zenu tunaziita ni michongo ya watu.
Kama Kila tendo vitabu vyenu vinadai ni mipango ya Mungu kwanini msikubali pia hiyo tofauti ya Idadi ya walioteuliwa ni mipango ya Mungu.
Hii nchi tabu sana; huwezi kutofautisha kati ya wasomi na wasio wasomi.....wote uwezo wao wa kufikiri unafanana tu; wako kama matunguri.
2. Hujamaliza kutafakari hilo, asubuhi yote hii unakutana na mada ya linyumbu limoja lililokosa kazi ya kufanya eti limekomalia udini katika masuala ya kitaifa. Pumbavu, lofa, nafiki, jinga, tutusa, bonto, zoba na ndondo kabisa. Nilikumbishe tu hili nyumbu zoba kuwa wakati wa magufuli katika mawaziri 18 muislamu alikuwa MMOJA tu.
Uhuru ndio kitu gani? Wao ndio walikubali kutawaliwa! Hivi kizazi hiki inakialetea story za eti walileta uhuru!Hii ni nchi ya Kiislam. Mzee Mohamed Said anasema kwamba Waislam wa Dar es Salaam ndio walioiletea nchi hii uhuru
acheni udini wenu mm/buzi nyie! Kwahiyo mnaleta ghasia Hadi kuua watu kisa Rais ni muislam? Keytima ndio anawapandikiza chuki,nashangaa kwanni keytima ashtakiwi kwa ugaidi na mauaji ya October 29Mbona umeandika kama kichaa!! Tatizo hilo la akili limeanza sasa hivi au unalo kwa muda mrefu?
Pole sana kwa hilo tatizo. Huna ndugu wa karibu ambao tayari wamegundua tatizo lako, wakuwahishe kwenye matibabu?
Ulitaka mumeo ndio apewe iyo nafasi? Wanawake mbona hampendani kwanini?Kama Wanu anaweza kuwa naibu waziri wa elimu na kuna maprofesa wanafundisha, ujue kuna tatizo.
Chokochoko zote Nchi hii kisa wagalatia...Mnafeli sana mnapoleta udini.
Kama mnataka kuipinga ccm muipinge BILA KULETA SABABU ZA UDINI.
Unajifunza matusi sio?Ulitaka mumeo ndio apewe iyo nafasi? Wanawake mbona hampendani kwanini?
Hakuna tusi hapo bibie! tukana tu! Tumewazoe mkiwa MP mnakuwa na visirani.Unajifunza matusi sio?
Mimi huwa niko tayari mda wote mkuu...
Karibu.
Au sio...Hakuna tusi hapo bibie! tukana tu! Tumewazoe mkiwa MP mnakuwa na visirani.
Bitch ni wewe na mumeo. Kumbe mpo wengi msikuwa na akili?!! Nilijua mleta mada pekeelying bitch,
Majaliwa PM ni muslim, Mbarawa ni muslim, Mwinyi (raisi wa Zanzibar), Makamba, nape, Umi mwalimu, hamisi kigwangala, Jafo, ulega plus samia makamu wa raisi wote walikuwa muslims isitoshe Magu kwa kutaka kuwafurahisha (if only he knew) mpaka alimleta mfalme wa moroko kuja kuwajengea msikiti mkubwa, lkn bado haikumsaidia chochote.
B.Mkapa aliwapa muslims University yao "Morogogo Muslim University of Morogoro (MUM) is a private university in Morogoro, Tanzania, established to provide quality higher education within an Islamic framework. The university was founded in 2004 when President Benjamin Mkapa granted it to the Muslim Development Fund (MDF), an organization chaired by the late Kitwana Kondo, with board members including Ramadhani Dau and Abdulrahman Kinana, the former Vice Chairman of Tanzania’s ruling partytoa chuo kikuu kwa muslims" Muslim University of Morogoro - Wikipedia.
you see no one did more for muslims hapa tanzagiza kama Christians, kwanza muslims hata live better kama raisi akiwa Christian klk sasa hivi ambapo corruption, nepotism, wizi, dhuluma, rushwa vimetamalaki kila mahali na wahanga wakubwa ni muslims pia, nani anahamisha na kufukuza muslims kupisha makontena? nani mtetezi wa muslims wa chini hapa tanzagiza? nani anachoma masoko na kuhamisha machinga au kwenye machinga hakuna muslims wapi mtetezi wao? ...
Umepata break fast ya kitimoto mkuu?Wagalatia ni jamii yenye chuki mno
Kwa sababu pia wanasema mungu ni mmoja ilipaswa wakubali hata wakiteuliwa Waislamu wote au Wakristo wote.