Nadhani umekusudia Odinga kashinda mara mbili ???
Kimsingi Wajaluo sio wengi Kenya kushindana na Wakikuyu
Lkn Odinga kila Chaguzi upata sapoti ya watu w Pwani
Kama Odinga alishinda itakuwa kipindi cha Uhuru Kenyata
Ndiomana
Uhuru Kenyata akamwita Odinga wakae mezani!!!!
Lkn William Rutto vs Odinga
William Rutto kashinda ki halali
Kwasasa Rutto anajua kura za Wakikuyu hazipati tena !!!
Ndiomana kwasasa William Rutto yupo maeneo ya Pwani kaweka kambi
kufanya mipango ya kimtindo Sababu hili kupata kura zao
watu wa Pwani !!
Watu wa pwani
hawawapendi Wakikuyu ivyo kajiandaa kupambana na Mkikuyu lazima Rutto awake kambi kwa wafuasi wa Odinga!!
Uhuru Kenyata alikuwa tayali kumpa nchi Odinga
Lkn tuseme kweli William Rutto chaguzi ya mwisho kashinda kwasababu ya kuungwa mkono na kikuyu!!
Sasa Chaguzi hii mpya William Rutto yupo kwenye kikaango sio kidogo 😛