Makatibu wapya CCM: Waislam wako 21, Wakristo 11. Hali inatisha sanaaaaa!

Usimuingize mzee mohamed said kwenye udini wala hayumo kabisa
Mdini kinoma yule ankali na udini umempofusha mno kwenye maandiko yake mpaka kwenye uwezo wa kuchanganua mambo, kwake Kariakoo(siyo hii Kariakoo ya sasa inayomilikiwa na Wakinga bali ile ya enzi hizo ya Wazaramo na mishangazi ya Kimanyema) ndiyo anaamini ni nchi nzima.
 
watanzania bara, haya mambo hua kawaida sana yakikusupport alafu ghafla yakaacha, inakuasaidia kuona upane ambao hukuweka kuona
 
Usimuingize mzee mohamed said kwenye udininwala hayumo kabisa
Uwe na adabu, nitamuingizaje? Weee unaweza k
Kwahiyo Chief Mkwawa je History yake ya kupigana na Wajerumani ni ya Uongo?
Lakini mbona Jamii ya Pwani haijawahi kupigana na Wakoloni
Watakwambia Mkwawa alikuwa mwislam, jina lake Nasoro
 
Hii nchi tabu sana; huwezi kutofautisha kati ya wasomi na wasio wasomi.....wote uwezo wao wa kufikiri unafanana tu; wako kama matunguri.

1. Timu ya taifa, taifa stars, imesusiwa na baadhi ya watu. Kisa?!! Wachezaji wa Simba walioitwa hakuna aliyecheza hata mmoja...waliokuwa benchi. Manina wallah!!

2. Hujamaliza kutafakari hilo, asubuhi yote hii unakutana na mada ya linyumbu limoja lililokosa kazi ya kufanya eti limekomalia udini katika masuala ya kitaifa. Pumbavu, lofa, nafiki, jinga, tutusa, bonto, zoba na ndondo kabisa. Nilikumbishe tu hili nyumbu zoba kuwa wakati wa magufuli katika mawaziri 18 muislamu alikuwa MMOJA tu.
 
Hao jamaa always huwaza namna ya kuwatawala wengine kwa nguvu tena kwa kuwatesa na kuwaua kabisaa wake wanaokataa iman yao na lait rais wa kwanz angekuw wa iman hiyo leo hii nchi ingekuwa ya kiislam hii.
Ndiyo maana hata rizwan kikwete aliwah sena ikulu ya magogon ni ya waislam na hata humu kuna mzee husema sana tena kwa uchungu mkubwa kuwa waislam tu ndiyo walipambania uhuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…