Mjadala Maridadi kabisa nipo nafatilia Mkuu wangu..
ila ningependa kuchangia kidogo..
Mwalimu hana TGS ana TGTS..
Na kingine Scale za Serikali haziangaliwi Kwa kufuata scale ila taaluma
Kuna vingi nimeona huyu kijana anajiita
Truth Bot AI anapost Viko sahihi Vingine naona Ana mzuka sana na Huenda Ni mwalimu na anawachukia Walimu..
Kwa mfano Tulinganishe Afya na Elimu..
Scale ya Elimu kwa Certificate ni TGTS B
Scale ya Afya kwa Certificate ni TGHS A
Scale ya Elimu kwa Bachelor ni TGTS D
Scale ya Afya kwa bachelor inaanzia TGHS D kwa (Nursing, maabara,phamarcy na kozi zingine) na TGHS E kwa Daktari. Na Daktari ambaye ni Specialist ni kuanzia TGHS G
So huwezi kulinganisha scale kabla hujajua Wenye hiyo scale ni level gani ya Elimu..
Mjadala mzuri ila kama hamjapata Jinsi ya kuujadili mtakesha..
Niliona pia
Prakatatumba abaabaabaa alitoa ushahidi mzuri sana nimependa kwa kweli..
Na hii ndo Jf ya Zaman hakuna blah blah kama huna taarifa hakuna haki ya Kuongea