Afya wote wanamzidi Kuanzia diploma na kuendelea..
TGHS B ni diploma Na ni 740,000/=
TGHS C ni Advance Diploma ni 1,040,000/=
TGHS D NI Bachelor ya Manurse na Phamarcy ni 1.2Mil
TGHS E Ni bachelor ya Daktari ni 1.5Mil
View attachment 3042129
Wafanyakazi wa mahakama...
TJs 1.1 ambayo Ni certificate na makarani wenye cheti ni 660k
TJS 2.1 makarani wa Diploma ni 981k
TJS 3.1 mawakili na Maafisa wengine wenye Bachelor 1.39 Milion..
mahakimu na Maafisa wengine waandamizi wanaendelea chini..
View attachment 3042132