Makato anayokatwa Mwalimu mwenye Digrii kwenye mshahara

Makato anayokatwa Mwalimu mwenye Digrii kwenye mshahara

Wenye kujielewa wanachomoka, mimi mwenyewe sioni kama nitakaa humu, though nimeanza kujitafuta kwenye biashara nikiwa humu, mambo yakijipa nawaachia wengine gurudumu.

Aiseee plan nzuri mkuu ,laki 3 hauwezi kutoboa labda uwe mwizi ambapo DC/RC hawa wapenda sifa lazima atakufunga kuonyesha anafanya kazi.
 
Hali ni mbaya kwa kweli.Kule Kenya ni sababu ya sera mbovu za ELIMU za kuandaa wanafunzi kuajiriwa ndiyo zimewafikisha hapo,ufisadi wa kutisha,sera mbovu za kijamii,na kupishana kwa mishahara baina ya tabaka Moja na Kingine.Hivyo najua mamlaka zinajifunza mengi Sana kutokana na majirani zetu kupata CHANGAMOTO hizo.Mungu atufanyie WEPESI
 
Ndio, walimu wa science wanawazidi walimu wa art kama 50,000/= waliweka hii kama promotion kwa walimu wa science, walimu wa art inasoma hiyo uliyoandika hapo, lakini wa sciencee tulianza na 822k, nimeajiriwa 2022 kwa physics naelewa nachosema...
Wafanyakazi wa halmashauri woote njaa kali tu hakuna mwenye uafadhali,
wapumbavu waliongezea ajira mpya tu, ila ukipanda daraja mnakuwa sawa na wale ambao walianza na D plane
 
Ndio, walimu wa science wanawazidi walimu wa art kama 50,000/= waliweka hii kama promotion kwa walimu wa science, walimu wa art inasoma hiyo uliyoandika hapo, lakini wa sciencee tulianza na 822k, nimeajiriwa 2022 kwa physics naelewa nachosema...
Wafanyakazi wa halmashauri woote njaa kali tu hakuna mwenye uafadhali,
Ila bado ni kundi la walimu Lote ndo linaonekana bado ninmshahara mdogo Mkuu..
Kwa sababu Kama mwalimu wa Science aliyesoma Kwa shida madude magumu unampa D4..

Huuku Afisa utumishi unampa TGS D1 au TGS E ambayo 900k huoni kama ni uonevu??
 
MWENYE SALARY SLIP,, YA MWAKA HUU AU MWAKA JANA ATUME ILI TUCHANGANUE MAMBO.
 
Laki tatu mganga anaipiga chap sana 😂😂😂

Kupigiwa ramli tu elfu 50 dadeki zenu.... na mnatoa bila kuhoji.

Ni bora niwe mganga wa kienyeji kuliko kuwa mwalimu, ni UJINGA na UPUMBAFU.

Mwezi mzima unapokea Raki tatu, alaaah!!! Kwanini wasiache kazi hata wakalime? Mimi ningeenda kulima.

Mikundu juu kumbe wanalipwa mshahara kama wa Housegirl!! SHUBAMIIT
😂😂😂😂😂😂😂
 
Ila bado ni kundi la walimu Lote ndo linaonekana bado ninmshahara mdogo Mkuu..
Kwa sababu Kama mwalimu wa Science aliyesoma Kwa shida madude magumu unampa D4..

Huuku Afisa utumishi unampa TGS D1 au TGS E ambayo 900k huoni kama ni uonevu??
Afisa utumishi,utamaduni, mhasibu, mchumi na zingine zoote wanaanza na D ambayo ni laki 7, kwa halmashauri katibu wa afya anaanza na E, na engineering anaanza na E au F.
 
Back
Top Bottom