Makato anayokatwa Mwalimu mwenye Digrii kwenye mshahara

Nimekwambia na uelewi, kwa kipindi hiki walimu wa science woote wanaanza na D4, wanawazidi wa art ambao wanaanza na D1.
Umeona Tangazo niliyokuonyesha hapo Juu..
Ni la Ajira ya walimu mwaka 2022 na 2023 wameandika TGTS D..
Na huyo ni mwalimu wa Biology na Physics..unataka kusema sio ssyansi ??
 
Laki tatu mganga anaipiga chap sana 😂😂😂

Kupigiwa ramli tu elfu 50 dadeki zenu.... na mnatoa bila kuhoji.

Ni bora niwe mganga wa kienyeji kuliko kuwa mwalimu, ni UJINGA na UPUMBAFU.

Mwezi mzima unapokea Raki tatu, alaaah!!! Kwanini wasiache kazi hata wakalime? Mimi ningeenda kulima.

Mikundu juu kumbe wanalipwa mshahara kama wa Housegirl!! SHUBAMIIT
Mwalimu ana security na uhakika wa maisha hiyo mganga ana nini
 
Unataka nini ili uelewe? Nina mahujaji wangu ni mhasibu halmashauri D1 ni 770k ndio mshahara wake, walimu wa sciences walioajiriwa kuanzia 2022, walianza na promotion ya kuwekewa increment 3, wanaanza na D4, hiyo 822k, umeelewa?
Hiyo sheria ya kuwekewa Increments tatu ambazo hujazifanyia kazi ni sheria ipi mkuu🤣🤣🤣
Yaani unaanza kunidanganya Ikiwa mimi Huu ni mwaka wangu wa 10 serikalimni 🤣🤣🤣
 
Aiseee inasikitisha sana ,serikali ebu waoneeni huruma wafanyakazi wenu ,mtu mshahara wa laki 3 ataishije? Yaani nyinyi mnalipana hadi milioni 35 kwa mwezi halafu mnashinda tu ofisini kwenye A.C kujibu email tu halafu ukitoka unaingia kwenye LC 300 wakati mwalimu vumbi la chaki kuanzia asubuhi mpaka jioni kisha anapambana na vumbi la barabarani na jua.
 
Basi wewe ni mjuaji nikuache na ujuaji wako, katafute walimu wa science walioajiriwa kuanzia 2022, nimekutumia salary slip bado unabisha
 
Sio walimu tu, sema wafanyakazi woote wa halmashauri huku njaa ni kali.
 
Basi wewe ni mjuaji nikuache na ujuaji wako, katafute walimu wa science walioajiriwa kuanzia 2022, nimekutumia salary slip bado unabisha
Tuko sawa na tunaenda vizuri lengo ni kuelimishana...

Kwahyo walimu walioajiriwa Kuanzia mwaka 2022 ndyo waliopandishiwa kwa Increments na walimu wa Arts wakaachwa na D1 wale wakapewa D4 ??

Ili tujenge hoja Tuelewane kwanza hapo
 
Ndio, walimu wa science wanawazidi walimu wa art kama 50,000/= waliweka hii kama promotion kwa walimu wa science, walimu wa art inasoma hiyo uliyoandika hapo, lakini wa sciencee tulianza na 822k, nimeajiriwa 2022 kwa physics naelewa nachosema...
Wafanyakazi wa halmashauri woote njaa kali tu hakuna mwenye uafadhali,
 
Daah noma sana aiseee kumbe staffs wa halmashauri mishahara penenge? Sasa mtu unalipwa mshahara penenge halafu BASHITE anakusimamisha anakutukana hadharani....si bora uwe mjasiliamali tu mtaani.
Wenye kujielewa wanachomoka, mimi mwenyewe sioni kama nitakaa humu, though nimeanza kujitafuta kwenye biashara nikiwa humu, mambo yakijipa nawaachia wengine gurudumu.
 
Ndio, walimu wa science wanawazidi walimu wa art kama 50,000/= waliweka hii kama promotion kwa walimu wa science, walimu wa art inasoma hiyo uliyoandika hapo, lakini wa sciencee tulianza na 822k, nimeajiriwa 2022 kwa physics naelewa nachosema...
Wafanyakazi wa halmashauri woote njaa kali tu hakuna mwenye uafadhali,
TUWEKEE SLIP,, YA MWAKA HUU TUIONE AU YAMWAKA JANA.
 
Back
Top Bottom