Makato anayokatwa Mwalimu mwenye Digrii kwenye mshahara

Hiyo ndiyo mishahara ya walimu
Nimepitia hio Pdf aisee, ngoja niendelee kumuheshimu Line manager wangu, huku nikiendelea kupiga kazi Kwa ari juhudi na nguvu zangu zote nikiendelea kujenga vitega uchumi pembeni. Maana nimegundua wafanyakazi wengi wa Serikali japo Wana security ya kazi lakini wanaishi maisha magumu.
 
Lakini hapo nimemaanisha kwenye private sector na siyo serikalini so bado atakatwa 30%? Naona kama wanakata pakubwa sana Yani ulipwe million 8 wao wakate 30%?

Na hapo hakuna mkopo wa heslb Wala takataka zingine
Private sector wanajua kucheza na hizo number. Na wanagawa mshahara wao katika Mafungu kama Transport, house allowance na pia sehemu nilipo Mimi bima haikatwi kwenye mshahara, lkn pia transport na house allowance & meal allowance tare 15 na unaandika barua kuziomba nahazikatwi kodi na mara nyingi Huwa wanaweka asilimia ya 50 ya mshahara wako au 60 katika transport,house allowance & meal allowance. Halafu asilimia 40 au 50 iliyobaki ndio wanaweka kama Gross nandio yakatwa Kodi. Lakini ni taasisi za private zinazojielewa.
 
Very ideal and pragmatic. Unrealistic, most of all impractical.
Expenses:
  • Food.
  • Transport.
  • Energy bills.
  • Water bills.
  • Garments.
  • Stationary.
  • Extend family (considering majority of Tanzanians are coming from poor families).
  • Medical bills not covered by your health insurance fund.
  • Salary or stipend for your employee in your till shop.
  • Your brother/sister in law who will run mobile money/ till shop has to very trustworthy which is very rare.
Kutunza kiasi hicho siyo rahisi kwa mtu aliyekosa backup. 200K inawezekana kabisa iwapo hujajichanganya kuwa na mke au na mtoto . Hapo sijazungumzia hasara ikitokea mfanyakazi (shemeji) kakosea kitu. Ukumbuke faida ya pesa za mtandao siyo kubwa kihivyo.
 
Umeongea kwa uchungu sana
 
Hee! Kwamba 300k kwa mwaka mmoja upate 3.6M, ndio uweke tigo pesa upate 700K kwa mwezi??

Akili za Lumumba bwana!
Sijakupata vizuri mkuu, ila nilichomaanisha aweze kubangaiza asave 300k out of 500k ndani ya miez5 au mwaka akipata kwa kuanzia 1.5m aanze na tgo pesa inaweza mpa back up ya 700k kwa mwez akipata eneo zuri na kijana mchapa kazi
 
Mkuu nakumbuka ulisoma mechanical engeneer, hongera
 
Noma Sana
 
Achana na mabebi, uwe unaenda Riverside unachapa kwa buku tano tu, angalau unadumu na ugumu unakata hata kwa 3 days, ila ukipata mwenye mauno... Ukipata hawa pangu pakavu, siku moja inapita ukiwa huna ugumu. Bundle jenga urafiki na vijana sehemu zenye Wi-Fi wakupe password, jioni unaenda kula misele unaperuzi.

Anyways! Bongo sio pa kuishi.
 
Yote kheri
 
Haya yatamalizwa kwa Watanzania kujielewa,kuchukau hatua, na kusema sasa basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…