Makato anayokatwa Mwalimu mwenye Digrii kwenye mshahara

Hiyo 500k unayopata save 300k kwa mwaka mmoja au miezi 5 fungua tigo pesa mueke shemeji yako aliofeli form4 au alieacha shule kwa mwezi utaweza kupata back up ya 700k

Maisha ni mapaS

Yaani 2,4mil yote wanasepa nayo 😲😲😲
πŸ€—πŸ€—πŸŒ±πŸ€—πŸ€—,, na hapo ni kila mwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…