Makato ya kutuma Shilingi milioni moja ni nauli ya kutoka Morogoro Mjini mpaka Mwanza

Makato ya kutuma Shilingi milioni moja ni nauli ya kutoka Morogoro Mjini mpaka Mwanza

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Hebu tuwe serious na maisha nyie Wana ccm hivi mnaona sahihi haya MAKATO ya MIAMALA? Imagine nikitaka kufanya transaction ya milioni moja ni 40,000/= hii ni nauli ya Msamvu mpaka Nyegezi stand au stand ya Nato.
 
Uongo uongo uongo uongoo kutuma mtandao sawa ni tshs 14,400 kutuma kwenda mtandao washirika ni Tsh 15,400 kutoa tshs 17,400
 
Tayar Tushapigwa kitu kizito
IMG_20210822_145814.jpg
 
Rwanda wao wameondoa tozo kutuma hela simu kwenda benki na kinyume chake, sisi tunaongeza tozo maradufu.
 
Uongo uongo uongo uongoo kutuma mtandao sawa ni tshs 14,400 kutuma kwenda mtandao washirika ni Tsh 15,400 kutoa tshs 17,400
uyo wa Milion moja unapo mtumia ili yeye aweze kupata hiyo pesa kama ilivo manaake inapaswa utume na ya kutolea makato ya kutuma plus ya kutolea jumla yake ni 31k+, uko usi take kubisha hapaa
 
Hebu tuwe serious na maisha nyie Wana ccm hivi mnaona sahihi haya MAKATO ya MIAMALA? Imagine nikitaka kufanya transaction ya milioni moja ni 40,000/= hii ni nauli ya Msamvu mpaka Nyegezi stand au stand ya Nato
NATO duuu
 
Back
Top Bottom