Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

Na sisi tunaolipwa laki tatu kwa mwezi tusemaje?

Tanzania issue siyo madaktari, Watanzania wote tunaishi kama mateka, tatizo ni Ccm.

Hapo kuna mtu kaishia la saba ana chukuwa take home million 14 kwa mwezi kwa kazi ya kugonga meza tu bungeni.
Ni kweli, tatizo kuu lililopo Tz ni CCM ambayo imesababisha nchi kukosa Mifumo Imara ya kuendesha nchi, badala yake nchi inaendeshwa na Makundi tu ya watu ambao kimsingi elimu yao ni ya wasiwasi.
Endapo kama nchi ingekuwa na Mifumo imara ya Kitaasisi za kuendesha nchi, BODI YA MISHAHARA ingekuwa na Mamlaka Kamili ya kufanya tafiti mbalimbali kuhusiana na viwango sahihi vya Mishahara inayopaswa kulipwa kwa wafanyakazi kwa kuzingatia sababu za kiutafiti, na siyo kukadiria tu viwango kama inavyofanyika hivi sasa hapa Tz.
 
Acha dharau na maisha wewe, watu tunapokea laki mbili tunaishi na familia vizuri tu wewe unapokea take home ya 850k+ unalia lia acheni kufuru kwa mwenyezi mungu natamani ningekuwa wewe.......
 
Chuki chuki chuki. ulitaka Diploma afya walipwe kiasi gani ndio ufrahi by the way basic salary ya kozi za afya diploma ni TGHS B 740k na mwalimu ni 840k if not mistaken ukiwa unawasilisha hoja jaribu kuweka kando chuki uliyonayo dhidi ya watu wengine
 
Mm nadhani kuna haja na kila sababu
Za kuuondoa huu uchafu MadaraKani
Kinyume na hapo hiki kitabaki kuwa kilio cha vizazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mishahara ya madaktari haina uzito vile inapaswa kutokana na ugumu wa kazi yao
 
Na sisi tunaolipwa laki tatu kwa mwezi tusemaje?

Tanzania issue siyo madaktari, Watanzania wote tunaishi kama mateka, tatizo ni Ccm.

Hapo kuna mtu kaishia la saba ana chukuwa take home million 14 kwa mwezi kwa kazi ya kugonga meza tu bungeni.
Matola usihalalishe unyonyaji juu ya unyonyaji, huu ni utumwa maisha yapo juu sana ni lazima serikali iangalie mishahara kuakisi ugumu wa maisha
 


Kauze tikiti pale kawe, nunua kaspika kanasema tikiti mia moja, tikiti mia moja
 
Katika mistari ya hovyo katika hekaya za kiyahudi huu ni miongoni mwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…