Eddy da Rose Jr
JF-Expert Member
- Jun 1, 2023
- 244
- 252
Ishi huo Utumwa kwa mda afu jiondoe kajiaajiri uwe BOSS of certain Famous Private Hospital or something else.
utakuwa bado waishi kwa shemeji yakoKodi,umeme,maji,chakula havifiki laki nne
Labda research problem. Kama huyo diploma yuko field.Diploma aombwe research title na degree students? You can't be serious
I'm serious boss mmoja ni graduate tyr ardhi University degree ni karatasi tu boss what else would you like to hearDiploma aombwe research title na degree students? You can't be serious
DuuhKwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000
HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400
Unabaki na 849,020
Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
Kazi kweli kweliNa sisi tunaolipwa laki tatu kwa mwezi tusemaje?
Tanzania issue siyo madaktari, Watanzania wote tunaishi kama mateka, tatizo ni Ccm.
Hapo kuna mtu kaishia la saba ana chukuwa take home million 14 kwa mwezi kwa kazi ya kugonga meza tu bungeni.
Kodi kwenye nyumba nzuri,Umeme wa kutosha usiokatika,Chakula Balanced Diet kwa familia standard,Usafiri wa kwenda kazini wenye hadhi ya Dktari ili afike kwa wakti,atoe huduma akiwa relaxed na afurahie kazi yake Inahitajika angalau Milioni 2 Kisha Ndo aweke akiba.Kodi,umeme,maji,chakula havifiki laki nne
Uko wap mkuu connection muhimu ndgInategemea hiyo ajira, unalipwa ngapi, sasa Mimi napokea 7M net, kila mwezi, na save 5M, kwa miaka 15 nitakuwa na 900M! Kama ni utumwa Wacha niwe mtumwa tu!
Hata ukijiajiri, lazima Uwe mtumwa wa wateja.
Sio rahisi kihivyo,........70% ya graduates wote walioajiriwa wapo serikali kuu na halmashauri,.......ambapo anayeongoza kulipwa parefu ni MD...........hadi leo hakuna mtu serious ataacha kusoma PCB,MD,MMED,MSc aende kusoma sociology😆😃😃😃Mkome. Nyie ndio mlikuwa mnawaambia wenzenu wanaosoma arts kuwa wanasoma masomo ya kidada. Sasahiv hao madada ndio wanaamua ninyi mlipwe kiasi gani ama msilipwe lini
Ibaki ya nini inatakiwa iishe si unalipwa kila mwezi?Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000
HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400
Unabaki na 849,020
Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
Kua huo mshahara hauongezeki?.........katika nchi ambayo per capital ni 3.6 M mtu anayelipwa laki 5 tu ni billionea😃😀😀😆Bora vijijini hata thamani unakuwa nayo..
Hapa mjini ukikaa mpaka unastaafu ni madeni tu na cha maana hauna.
Kazi gani kwa muajiri wa hio salary slip,mtu anaanza na mshahara mkubwa kuliko huo?,...........acheni chuki kama sio unafiki wenu,......kama tu ilivyo U.S.A,U.K,Canada,the leading paying jobs is MD na Tanzania ni hivo hivo tu,......as per uchumi wa nchi husika,...........utasikia bungeni,kariakoo Kuna watu wanapata milioni 10 kwa mwezi,......hata MD wabunge,wafanya biashara wapo,acheni UKUMAHoja sio kua tajiri ,hoja ni kuweza angalau kuishi kama binadamu hapa dunian ,broo imagine huyu mwamba anayechukua hio jiwe 8 anafamilia na bafo tegemezi wako kibao sijui unanielewa lakini broo sijui unanielewa?
Unakuta kuna mfanyabiashara anaingiza zaidi ya mil 4 kwa mwezi anakwepa kodi hakatwi kodi
Kazi gani kwa muajiri wa hio salary slip,mtu anaanza na mshahara mkubwa kuliko huo?,...........acheni chuki kama sio unafiki wenu,......kama tu ilivyo U.S.A,U.K,Canada,the leading paying jobs is MD na Tanzania ni hivo hivo tu,......as per uchumi wa nchi husika,...........utasikia bungeni,kariakoo Kuna watu wanapata milioni 10 kwa mwezi,......hata MD wabunge,wafanya biashara wapo,acheni UKUMAmadaktari wanaishi maisha magumu sana, ndio maana wapo tayari hata kupokea alfu 20 ya tips,
Kazi gani kwa muajiri wa hio salary slip,mtu anaanza na mshahara mkubwa kuliko huo?,...........acheni chuki kama sio unafiki wenu,......kama tu ilivyo U.S.A,U.K,Canada,the leading paying jobs is MD na Tanzania ni hivo hivo tu,......as per uchumi wa nchi husika,...........utasikia bungeni,kariakoo Kuna watu wanapata milioni 10 kwa mwezi,......hata MD wabunge,wafanya biashara wapo,acheni UKUMAHalafu Elimu yake ni ya darasa la saba.
Sifa za mbunge anatakiwa ajue kusoma na kuandika na awe na akili timamu
Sociologists wa Tarura, Tanroads analipwa mara 2 ya daktari wa tamisemiSio rahisi kihivyo,........70% ya graduates wote walioajiriwa wapo serikali kuu na halmashauri,.......ambapo anayeongoza kulipwa parefu ni MD...........hadi leo hakuna mtu serious ataacha kusoma PCB,MD,MMED,MSc aende kusoma sociology😆😃😃😃