Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

Jamani kazi nyingine ni kutoa huduma kwa jamii ukitaka kuwa tajiri kama musk ingia kwenye biashara
Ukienda kwenye biashara utajuta kuzaliwa. Huku kuna kodi, tozo na ada kibao. Bado fire tingisha, osha, efd, ada ya mazingira, brela, mwenge, tbs,tmda, heslb, nhif, nssf- bora mbaki huko huko serikalini
 
Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000

HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400

Unabaki na 849,020

Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
Yaani take home ya karibu 850k unaona bado ni ndogo kwa Tanzania hii
Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000

HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400

Unabaki na 849,020

Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
Yaani take home ya karibu 850k unaona bado ni ndogo kwa Tanzania hii 🫢

Walimu na mapolisi wasemeje sasa
 
Jamani kazi nyingine ni kutoa huduma kwa jamii ukitaka kuwa tajiri kama musk ingia kwenye biashara
Hoja sio kua tajiri ,hoja ni kuweza angalau kuishi kama binadamu hapa dunian ,broo imagine huyu mwamba anayechukua hio jiwe 8 anafamilia na bafo tegemezi wako kibao sijui unanielewa lakini broo sijui unanielewa?
 
Kuna sehemu inaitwa Ruanda Mbinga mkoa wa Ruvuma, bia 2500 na bidhaa nyingine kila unayoijuwa wewe basi ongeza 500 juu.
Shida ni watu kutotembea…wakikaa mjini wanafikiri vijijini maisha ni mteremko…yani kuna kijiji nilikwenda kule Arusha aisee maisha yako juu bora ukaishi Dar na pia hata kulima ni ghari kweli kweli tofauti ukiwa uku mtu anaweza dhani kulima ni rahisi… kuna sehemu niliulizia kupanda maharage wakasema kukodi hekari moja laki moja na kulima heka kwa trekta ni laki bado debe la mbegu ya maharage ambayo ni inapanda robo heka ni 75 elfu…halafu mtu ana kaa anafikiri kijijini maisha rahisi akishindwa mjini anafikiri atakwenda kijijini kulima na atajirike…..
 
Back
Top Bottom