Ego is the Enemy
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 8,201
- 16,246
Mie nilikataa kusomea udaktari Mana nilikuwa nawaona hawakuwaga na maaajabu mno ya kipesaWatu wengi tulikuwa tunadhani udaktari ni kazi yenye malipo makubwa hasa tulipokuwa tunasoma A level na O level
Kitu ambacho kilifanya hadi kuwadharau watu waliokuwa wanasoma combinations za arts na biashara
Ila uhalisia tunakuja kuujua wakati tushachelewa