Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

Ana heri anayepokea kiasi hicho na bado atake kubaki na balance.

Umejiuliza graduate mwenye miaka nane (8) mtaani baada ya kukosa ajira au namna rasmi ya kujikwamua kiuchumi anayehangaika na maisha huku akihitaji yote hayo ana wakati mgumu kiasi gani?

Sometimes unakuta anamzidi hata elimu huyo anayepokea kiasi hicho,kila mtu ashukuru kwa kidogo chake hicho hicho kuna watu hawakipati na wanakitamani.
 
Kataa utumwa wa kuajiliwa!

Siku ukijua kuwa, hata walionje ya ajira wana maisha mazuri na wanatusua tu, Utajibana mwaka mmoja tu ukitafuta mtaji kwenye ajira yako!

Kataa kutumiwa utaalamu wako kwenye kazi za watu, utumie utaalam wako kwa ajili yako wewe
 
Vema.
 
Polisi/askari/trafiki watumie vipi utaalamu wao?

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Mada imeshaletwa kitambo humu,,,Kada ya udaktari hio!!Punguza ukuda mgonjwa
 
Back
Top Bottom