Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000

HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400

Unabaki na 849,020

Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
Pole sana Doctor. Na hapo umesahau kuweka ZAKA kama wewe ni Mkristo, ambayo ni 10% ya BASIC SALARY. Endapo ulikuwa hutoi zaka, anza kutoa ili uone baraka za Mungu zilivyo. Wakati wengine wanalia mshahara hautoshi, Mungu atabariki hicho kinachobaki na utashangaa unatoboa mwezi bila kukopa ili kujazia.

Soma
Malaki 3:10-11
[10]Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema BWANA wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la.
[11]Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake katika mashamba, asema BWANA wa majeshi.

Pamoja na hayo yote, wanaopanga mishahara wangeangalia namna ya kuwaongezea mishahara au hata posho. Wakiawapatia posho ya nyumba na usafiri na wakawalipia bima ya afya itakuwa jambo jema sana. Kazi za udaktari na kada ya afya kwa ujumla ni nyeti
 
Na sisi tunaolipwa laki tatu kwa mwezi tusemaje?

Tanzania issue siyo madaktari, Watanzania wote tunaishi kama mateka, tatizo ni Ccm.

Hapo kuna mtu kaishia la saba ana chukuwa take home million 14 kwa mwezi kwa kazi ya kugonga meza tu bungeni.
Upo sahihi ila hao la saba hawafiki hata 500 kati ya watanzania zaidi ya milioni 60.
 
Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000

HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400

Unabaki na 849,020

Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
Huo mshahara ni mwingi sana, ni akili yako tu.
 
Pole sana Doctor. Na hapo umesahau kuweka ZAKA kama wewe ni Mkristo, ambayo ni 10% ya BASIC SALARY. Endapo ulikuwa hutoi zaka, anza kutoa ili uone baraka za Mungu zilivyo. Wakati wengine wanalia mshahara hautoshi, Mungu awabariki hicho kinachobaki na utashangaa unatoboa mwezi bila kukopa ili kujazia.

Soma
Malaki 3:10-11
[10]Leteni zaka kamili ghalani, ili kiwemo chakula katika nyumba yangu, mkanijaribu kwa njia hiyo, asema BWANA wa majeshi; mjue kama sitawafungulia madirisha ya mbinguni, na kuwamwagieni baraka, hata isiwepo nafasi ya kutosha, au la.
[11]Nami kwa ajili yenu nitamkemea yeye alaye, wala hataharibu mazao ya ardhi yenu; wala mzabibu wenu hautapukutisha matunda yake kabla ya wakati wake katika mashamba, asema BWANA wa majeshi.

Pamoja na hayo yote, wanaopanga mishahara wangeangalia namna ya kuwaongezea mishahara au hata posho. Wakiawapatia posho ya nyumba na usafiri na wakawalipia bima ya afya itakuwa jambo jema sana. Kazi za udaktari na kada ya afya kwa ujumla ni nyeti
Yani Mungu aweze kuumba mbingu na dunia, halafu amuumbe binadamu, then Mungu aombe pesa kwa binadamu? Na hizi pesa si ni Man made? Ukitumia common sense huoni hapo dini zote ni Utapeli mtupu?

Hivi vitabu kuna verse watu wameingiza project zao binafsi siyo kweli, Mungu hawezi kumtegemea binadamu wakati ana uwezo wa kusema iwe na ikawa.
 
Bora wewe, mwalimu wa degree mwenye basic salary 780,000 makato yake ni almost 300,000 anabaki na laki 5
Mwalimu wa Daraja E anapata basic salary ya 990k

Take home ni karibu 790k

Anachochukua kwenye ATM ni siri yake

Maisha ni akili

Wengine kwa hiyo hiyo,pamoja na akili ya mtaani anaishi maisha mazuri ila wengine njaa tupu
 
Back
Top Bottom