Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

Watu wengi tulikuwa tunadhani udaktari ni kazi yenye malipo makubwa hasa tulipokuwa tunasoma A level na O level

Kitu ambacho kilifanya hadi kuwadharau watu waliokuwa wanasoma combinations za arts na biashara

Ila uhalisia tunakuja kuujua wakati tushachelewa
Mkome. Nyie ndio mlikuwa mnawaambia wenzenu wanaosoma arts kuwa wanasoma masomo ya kidada. Sasahiv hao madada ndio wanaamua ninyi mlipwe kiasi gani ama msilipwe lini
 
Watu wengi tulikuwa tunadhani udaktari ni kazi yenye malipo makubwa hasa tulipokuwa tunasoma A level na O level

Kitu ambacho kilifanya hadi kuwadharau watu waliokuwa wanasoma combinations za arts na biashara

Ila uhalisia tunakuja kuujua wakati tushachelewa
Kijana acha kuwaongopea watu.

Ninakufahamu wewe ,mzee wako familia yako, chuo ulichosoma bagamoyo ,elimu yako, shule ulizohama nk.

Ndio maana Mpwayungu anawadharau sana.
 
Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000

HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400

Unabaki na 849,020

Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
[emoji2][emoji2][emoji2]mzee raia tukiweka salary slip hapa mbona utakimbia

Imagine: 10% NSSF , 15% HESLB, arround 20.% PAYE, :

Chap tu 45% ya mshahara si yako.
 
Back
Top Bottom