Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

Unajua ya kua serikali master pekee inayolipa ni MMED?
MD sio matako kua hata wewe unayo
Ndio mana nikakwambia usitumie ulinganifu wa MMED sababu ticha hata akiwa na masters analipwa kwa scale ya degree, sasa wewe umehama kwenye MD umekimbilia kwenye MMED huoni unavyojivuruga kwa hoja?
Basi sawa...
 
Hata MD analipwa almost 1.6X ya degree zingine kwenye ofisi hio hio,hii imekaaje hii kitaalamu
Pia unajua kua mtu akifeli form six ndio anakua mwalimu?😀😀😀
 
Back
Top Bottom