Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000

HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400

Unabaki na 849,020

Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
Na unatakiwa umsikilize mgonjwa kwa makini! Mwanasiasa tena darasa la saba anapeta!!!
 
Tafuta hela na uache kusifu takataka za laki8, wenzio halmashauri Wana michongo ya magumashi mingi ww umekaa tu unapiga kelele na takataka za laki8
Hapa ni kusoma SOCIOLOGY tu ili tupate hela zaidi ya MD,tufanye kazi gaming boards na TARURA😆😁
 
Na umesoma miaka6?
Hizo ni sera za serikali. Hata angesoma miaka 7 ulitaka afanyaje kama muundo upo hivyo?!

Ni kweli kabisa, MD's wanastahili kupata kikubwa kulingana na miaka wanayotumia shule na unyeti wa kazi zao ila huwezi kupingana na kilichokuwepo kwa wakati huu.

Lakini popote penye MD, yeye ndio ataongoza kulipwa mshahara kuliko kada nyingine.
 
Sasa mtu ambaye leo ni cardiologist ,kipindi hiko alipata division 3 jua tu,yeye ndio alipata maksi kubwa kwenye hio shule,😆😆..........yaani sawa na ukisema mshahara wa MD ni mdogo TAMISEMI,jua tu MD ndio analipwa zaidi ya kada zingine,wengine wanalipwa almost nusu ya hio na hata wawe na PhD salary haiongezeki,wakati MD akirudi MASTER tu,inakua kasheshe nyingine😀😆😀
Nimesoma nae, tena science na lipata div 1 nzuri kabisa. Alipata III yake. Namjua personally. Alafu huo nshahara ni mdogo Sana. Unalinganisha na watu ambao kazi zao sio ngumu, hawaamki usiku, sikukuu wanakula Bata, Wana muda wa mambo mengine, na wanapata pesa kuliko hicho kimshahara. Hizo TGHS, tunazijua sana. Ni za kawaida mno. Hakuna maajabu. Kudanganyana tu.
 
Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000

HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400

Unabaki na 849,020

Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
Kwahiyo unashauri nn. Suluhisho nini.

Huwa tunavilaumu vyama vya upinzani vyetu nchi vinaishia kuorodhesha kero, kukosoa, kulalamika na kubeza juhudi bila kuja na suluhisho la kero kama wao wengekuwa au watakuwa madarakani.

Waambie waache kazi
 
Nimesoma nae, tena science na lipata div 1 nzuri kabisa. Alipata III yake. Namjua personally. Alafu huo nshahara ni mdogo Sana. Unalinganisha na watu ambao kazi zao sio ngumu, hawaamki usiku, sikukuu wanakula Bata, Wana muda wa mambo mengine, na wanapata pesa kuliko hicho kimshahara. Hizo TGHS, tunazijua sana. Ni za kawaida mno. Hakuna maajabu. Kudanganyana tu.
Kwa hio masaa ya kazi kwa MD ni tofauti na kada nyingine serikalini?
Kwa hio kada zingine wanalipwa kidogo kwa kua wanafanya kazi kidogo?,😆😆😃
Wakifanya kazi sana watalipwa sana,si ndio?😆😀😀
Kwa hio TGHS ni ndogo kiasi hata utumishi wanakosa watu wa kuwafanyia usaili?
 
Hapa umetoa boko, kada za afya muda mwingi wanatumika kazini, tofauti na kada zingine ikifika saa 9 siku ya kazi imeisha.
Basi sawa...
 
Wanatumika bure si ndio eeeeh?,
Au kwa kua unaona hospitali inafanya KAZI 24/7 unajua watu ni hao hao tu hawarudi nyumbani?😁😄😄
Muda wa kazi kwa watumishi wote wa umma ni masaa 8 tu,more than that watu wanapewa maokoto yanazidi hata mshahara wa mwalimu halmashauri kwa huo muda wa ziada😄😁😆😆
 
Ha ha ha..ndo maana unakuta doctor anahangqika na vitu bidogo kam vidawa
 
Wanatumika bure si ndio eeeeh?,
Au kwa kua unaona hospitali inafanya KAZI 24/7 unajua watu ni hao hao tu hawarudi nyumbani?😁😄😄
Muda wa kazi kwa watumishi wote wa umma ni masaa 8 tu,more than that watu wanapewa maokoto yanazidi hata mshahara wa mwalimu halmashauri kwa huo muda wa ziada😄😁😆😆
Muda wa ziada anaopata mwalimu anaweza kumake kipato kikubwa tofauti na mtu anaesubiria extra duty, na ukiachana na ego maticha wa siku hizi wanamaendeleo kuliko watu wa afya, sababu wanamuda wa kufanya vitu vingine vya kuwaingizia kipato tofauti na kusubiria tu mshahara. Kama wewe upo kwenye kada ya afya utoke night ambayo imechangamka haswa halafu uniambie ile SD kama utaweza kufanya shughuli nyingine zaidi ya kulala tu.

Kua mwalimu wa kiswahili awe na maendeleo kuliko MMED,😆😆😆
Mwalimu anahitaji kufanya kazi miaka zaidi ya 20 kufika salary scale inayofanana amount na TGHS G
mwalimu alifeli sekondari ndio manaa akashindwa kua Daktari😁😄😄🤣
 
Uko na ego mdogo wangu, yani MMED ndio unafanya ulinganifu na mwalimu ambaye yeye hata akiwa na masters hana scale ya mshahara? Na most MMED wako kuanzia RRH huko fanya ulinganifu kwa hawa wengi ambao wapo Halmashaur
Basi sawa...
 
Wewe ndio kilaza,unadhani kumpata MD kwenye jeshi lolote lile mi rahisi kama kua na makalio?
MD haingii jeshini kama kuruta wa kozi za miezi sita
MD lazima awe commissioned officer
Wewe niite majina yote ila nakuambia hakuna MD anayeanza na nyota huko PT, MT, UT, ZT. Hakuna
 
Mnagombana tu bure kila mmoja ale kulingana na urefu wa kamba yake kiufupi haya maajira hata ulipwe 5m bado njaa ni ileile.
Bora waliojiajiri
 
Uko na ego mdogo wangu, yani MMED ndio unafanya ulinganifu na mwalimu ambaye yeye hata akiwa na masters hana scale ya mshahara? Na most MMED wako kuanzia RRH huko fanya ulinganifu kwa hawa wengi ambao wapo Halmashaur
Basi sawa...
Kwani MMED sio MD?,kwani mwalimu,muhasibu,sociologist anakatazwa kusoma masters😅😆😀😀
Umegundua kua hatuwezi kulinganisha MD na degree za kipuuzi enheee😆😀😆
 
Wewe niite majina yote ila nakuambia hakuna MD anayeanza na nyota huko PT, MT, UT, ZT. Hakuna
Yaani MD aanzs na nyota TPDF ila asianze na nyota hayo majeshi mengine?😀😀
MD sio matako,by the way MD hawezi kua desperate hata iweje awe polisi bila kuahidiwa nyota,yaani haweze kua na njaaaa hio hata iweje
😆😆😆,hata Kama ingekua kweli farsafa yako
Kua MD FFU,au MD awe analinda benki yaaani ndio logic yako😆😆😆😀
 
Kwani MMED sio MD?,kwani mwalimu,muhasibu,sociologist anakatazwa kusoma masters😅😆😀😀
Umegundua kua hatuwezi kulinganisha MD na degree za kipuuzi enheee😆😀😆
Masters ni sawa na degree??? Kwanza unafanya kazi hospital gani ili nikiumwa nikukwepe?😅
Basi sawa...
 
Back
Top Bottom