chilonge
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 1,839
- 3,645
Popote atakapokuwepo MD, yeye atapata mshahara mrefu kuliko wenzake.- wewe ni lofa unasoma miaka 6 halafu unakuja kupiga kelele, huzingatii huo muda uliosoma? Akili yako ni ndogo sana, umeridhika na laki8, na Nina uhakika sasa hivi hata laki2 huna umeishiwa unasubiri makombo ya laki8
Kwenye ngazi shahada, hata BoT kwenye dispensary yao, akiwepo MD yeye atakula mpunga mrefu kuliko kada nyingine zenye kiwango sawa cha elimu.