Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

MD hata we mmoja kwenye hio taasisi,iwe TAMISEMI,WIZARA,U.S,CANADA lazima tu atakupiga pumbu,ukiwa unafanya naye kazi kwenye ofisi moja
Unajua kwa nini MD ndio kozi inayoongozaa watu kuingia na maksi nyingi?,😃😅🤣
Pale Kairuki MD ada yake unasoma sociology hadi masters🤣🤣
Ada ya MD U.S.... bongo ndio mitaji ya wafanyabiashara wakubwa🤣😅😃
kama Kuna class mate wako ni MD jua tu alianza kukupiga pumbu toka mulivomaliza form six😃😅🤣
Gaming board hamna MD, tulia tamisemi
 
Hakuna MD ambaye anaweza kukubali kuanza na salary chini ya nyota kwenye jeshi lolote lile hata liwe la mgambo,maana hio pesa hata TAMISEMI anaipata.
Ingekua upolisi una hela , si kila mtu mwenye zile V tatu angetamba🤣🤣
Yes wewe ni MPUMBAVU,ikiwa unahisi MD anaweza ajiriwa kwenye vyombo vya usalama akiwa sio OFFICER,.........hizo ni sheria za U.N wandugu hujiamilii tu😃😀😀
Swali inabidi ujiulize;ni kwanini iwe polisi,zimamoto,ama TPDF..
MD Lazima awe officer?,na sio SOCIOLOGIST,🤣🤣.....yaani U.N walifikiria nini kuwekea hii Sheria
😀😃
Lete kifungu kutoka kwenye United Nations charter tukione tujadili
 
HESLB psssf na bima ni kwa maslahi Yako mwenyewe usiwe na uchungu.Serkali ingepunguza Kodi kwa wafanyakazi kwa 20/100 ili wamudu gharama za msingi na kuondoka vishawishi vya rushwa
 
Basi ndiyo maana unabisha. Kuna comment juu hapo nilikuchambulia vizuri tu namna degree wanavyolipwa mshahara. Nilikuambia MD (polisi, magereza, zimamoto, uhamiaji) analipwa 1.5M na nilikuambia kabisa hiyo ni mshahara maalumu (mshahara kulingana na elimu na sio cheo). Hivyo hivyo pia degree zingine zinalipwa 800,00 - 1,100,000 kama mshahara maalumu. Nikakuandikia na jinsi posho zao zilivyoboreshwa. Soma ile comment vizuri.

Ninachokataa wewe kusema MD anaanza na nyota moja kama cheo. Hapo nakataa hata ukiniita majina MPUMBAVU na mengine, hapo nitakataa.

Nakuambia tena, nina ushahidi wapo MD ambao hawana nyota. Askari wengine wa Magereza wanahitimu mafunzo kesho ijumaa na wenye MD wapo. Nakuambia hakuna anayeajiriwa moja kwa moja akaanza na Nyota. YANI HAKUNA.

Note: TPDF hausiki hapa, hao wana utaratibu wao. Ila Wizara ya mambo ya ndani hakuna MD anaanza na Nyota.
Wewe ndio kilaza hakuna MD atakubali afanye kazi ya jeshi lolote lile hapa Tanzania halafu alipwe chini ya mshahara wa TAMISEMI,.............sababu ni Moja tu,MD hawachukui vilaza kule,na 70% ya MD student sio watu masikini kama kada zingine kua mtu anasoma Ili mradi tu😃😀,
Mwisho jeshi lolote lile duniani hata liwe mgambo MD lazima awe OFFICER
je unajua kwa nini?😀😃
 
Na sisi tunaolipwa laki tatu kwa mwezi tusemaje?

Tanzania issue siyo madaktari, Watanzania wote tunaishi kama mateka, tatizo ni Ccm.

Hapo kuna mtu kaishia la saba ana chukuwa take home million 14 kwa mwezi kwa kazi ya kugonga meza tu bungeni.
Mwingine ni darasa la 7 D ila yupo jeshini kwa kujua kupiga ngoma ama ana cheti cha VETA cha ufundi bomba na anakunja zaidi ya 1m per month.
 
Gaming board hamna MD, tulia tamisemi
NIMR mtu marketing anafanya nini?😃😀😀,MDH civil engineer anafanya nini?
Residency at Texa central hospital,U.S.A,mtu wa geology anafanya nini?
Au unadhani hakuna taasisi zinazolipa vizuri sanaa ambazo zimejaaa MD tu na watu wa afya?
😀😃😆
NOTE😛opote pale penye MD na kada zingine akiwepo jua tu MD atakupiga pumbu
Kama tu kwenye hio salary slip aliyeileta mtoa mada,wafanyakazi wa kada zingine zoooooooooooote wanapiga pumbu na MD kwa huyo muajiri wao😃🤣😅
 
Lete kifungu kutoka kwenye United Nations charter tukione tujadili
😅😃😆Nenda Lugalo tafuta MD ambaye ni sergent 😆😅🤣🤣..........MD sio matako mkuu kua Kila mtu anaweza kusoma
U.S ili usome MD inabidi uwe na degree nyingine
Tanzania MD ndio kada pakee mtu analipwa salary ya Masters
 
Nimekuuliza kuhusu united nations charter unaniambia niende lugalo, ww una akili kweli?
US sio medicine tu hadi LAW DEGREE lazima uwe na degree nyingine
Salary ya masters hiyo take home laki8? Hivi unaona laki8 ni hela, nenda kwa maafisa mipango miji procurement na ARDHI uone wenzio walivyokuwa na pesa sio kusubiri elfu 50 za OnCall allowance takataka
 
NIMR mtu marketing anafanya nini?😃😀😀,MDH civil engineer anafanya nini?
Residency at Texa central hospital,U.S.A,mtu wa geology anafanya nini?
Au unadhani hakuna taasisi zinazolipa vizuri sanaa ambazo zimejaaa MD tu na watu wa afya?
😀😃😆
NOTE😛opote pale penye MD na kada zingine akiwepo jua tu MD atakupiga pumbu
Kama tu kwenye hio salary slip aliyeileta mtoa mada,wafanyakazi wa kada zingine zoooooooooooote wanapiga pumbu na MD kwa huyo muajiri wao😃🤣😅
-Mfanyakazi wa nimr hamfikii ofisa wa bodi ya michezo ya kubahatisha wala tra,lofa huna akili unapalilia umasikini wa laki8 na mke wako atagongwa sana kwa sababu umeridhika na laki8
- unashangilia MD kulipwa hivyo vijisenti bila kuangalia unasoma 5yrs to six unakuja kulipwa takataka
 
Wewe ndio kilaza hakuna MD atakubali afanye kazi ya jeshi lolote lile hapa Tanzania halafu alipwe chini ya mshahara wa TAMISEMI,.............sababu ni Moja tu,MD hawachukui vilaza kule,na 70% ya MD student sio watu masikini kama kada zingine kua mtu anasoma Ili mradi tu😃😀,
Mwisho jeshi lolote lile duniani hata liwe mgambo MD lazima awe OFFICER
je unajua kwa nini?😀😃
Hebu lete kifungu kutoka kwenye the national defense act or defense regulations or Force routine order ya jeshi inayosema hivyo Mbweha msubiri mshahara taka taka za laki 8 kinyesi
 
spleen ww ni masikini kabisa unashangilia MD kulipwa takataka za laki8 wakati kasoma miaka6 ni upuuzi badala ya kuleta hoja mshahara upande ww umekaa umeridhika na takataka za laki8 na oncall zatsh 50
 
Nimekuambia MD analipwa 1.5M ila haanzi na nyota. Kumbe huelewi duh
 
-Mfanyakazi wa nimr hamfikii ofisa wa bodi ya michezo ya kubahatisha wala tra,lofa huna akili unapalilia umasikini wa laki8 na mke wako atagongwa sana kwa sababu umeridhika na laki8
- unashangilia MD kulipwa hivyo vijisenti bila kuangalia unasoma 5yrs to six unakuja kulipwa takataka
MD aliyepo JhPiego,W.H.O analipwa mara 5 ya mishahara ya wafanyakazi 10 wa bodi ya kubahatisha😀😆
Kwenye hio ofisi ya salary slip aliyeileta Mtoa mada MD anawapiga pumbu kada zote,kwa waajiriwa wapya😆😀
Ushajua kwa nini MD watu wanaingia na maksi kubwa na ada yake ni kubwa kuliko kozi yeyote ile inayotolewa vyuo vikuu hapa nchini?
 
Hebu lete kifungu kutoka kwenye the national defense act or defense regulations or Force routine order ya jeshi inayosema hivyo Mbweha msubiri mshahara taka taka za laki 8 kinyesi
Yaani unasubiria mwanaume akuletee kifungu,baada ya wewe kukitafuta?😆😀😀........ndio maana MD wanawapiga pumbu ninyi na mademu zenu huko maofisini,...............kama tu mtoa mada ametuma salary slip ya MD akilipwa mshahara mdogoo,nawe leta salary slip ya sociologist/kada yeyote ile kwenye hio taasisi akilipwa mshahara mkubwa zaidi ya MD😆🤣😅😅
N.B:MD ukiajiriwa naye sehemu Moja atakupiga pumbu mbele na nyuma,hii ni Pi😅😆😆😀
 
spleen ww ni masikini kabisa unashangilia MD kulipwa takataka za laki8 wakati kasoma miaka6 ni upuuzi badala ya kuleta hoja mshahara upande ww umekaa umeridhika na takataka za laki8 na oncall zatsh 50
Sasa kwa nini MD kwenye hio taasisi ya salary slip aliyetoa mtoa mada ye ndio anaongoza kuwapiga pumbu kada zingine?,😆😅😅
hii imekaaje hii kitaalamu?😆😆
Ikiwa MD hailipi,mbona ye ndio anaanza na salary kubwa?
 
Back
Top Bottom