Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

Nimekuambia MD analipwa 1.5M ila haanzi na nyota. Kumbe huelewi duh
Wewe ndio kilaza,unadhani kumpata MD kwenye jeshi lolote lile mi rahisi kama kua na makalio?
MD haingii jeshini kama kuruta wa kozi za miezi sita
MD lazima awe commissioned officer
 
MD aliyepo JhPiego,W.H.O analipwa mara 5 ya mishahara ya wafanyakazi 10 wa bodi ya kubahatisha😀😆
Kwenye hio ofisi ya salary slip aliyeileta Mtoa mada MD anawapiga pumbu kada zote,kwa waajiriwa wapya😆😀
Ushajua kwa nini MD watu wanaingia na maksi kubwa na ada yake ni kubwa kuliko kozi yeyote ile inayotolewa vyuo vikuu hapa nchini?
Maksi kubwa zipi? Mbona nina jamaa yangu kilaza tu alikula div 3 saivi Yuko hapo Benjamin eti ni cardiologist mavimavi. Nina ndugu alifeli alianza na u clinical officer. Yuko slow mpaka basi. MD bongo ni takataka tu
 
Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000

HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400

Unabaki na 849,020

Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
Hakuna mfuko wa pensheni, hakuna Chama Cha wafanyakazi .... Wewe muongo...
 
Maksi kubwa zipi? Mbona nina jamaa yangu kilaza tu alikula div 3 saivi Yuko hapo Benjamin eti ni cardiologist mavimavi. Nina ndugu alifeli alianza na u clinical officer. Yuko slow mpaka basi. MD bongo ni takataka tu
Sasa mtu ambaye leo ni cardiologist ,kipindi hiko alipata division 3 jua tu,yeye ndio alipata maksi kubwa kwenye hio shule,😆😆..........yaani sawa na ukisema mshahara wa MD ni mdogo TAMISEMI,jua tu MD ndio analipwa zaidi ya kada zingine,wengine wanalipwa almost nusu ya hio na hata wawe na PhD salary haiongezeki,wakati MD akirudi MASTER tu,inakua kasheshe nyingine😀😆😀
 
Sasa kwa nini MD kwenye hio taasisi ya salary slip aliyetoa mtoa mada ye ndio anaongoza kuwapiga pumbu kada zingine?,😆😅😅
hii imekaaje hii kitaalamu?😆😆
Ikiwa MD hailipi,mbona ye ndio anaanza na salary kubwa?
Kigezo kinachotumika ni years of study mtu kasoma miaka 6 hence hiyo pesa ni mbuzi still
Kwenye level ya tamisemi wenye hela ni Mipango miji, procurement, ARDHI MD hawana hela hiyo take-home ya laki9 ni pesa ndogo sana kwa hizo kada nilizozitaja
 
MD aliyepo JhPiego,W.H.O analipwa mara 5 ya mishahara ya wafanyakazi 10 wa bodi ya kubahatisha😀😆
Kwenye hio ofisi ya salary slip aliyeileta Mtoa mada MD anawapiga pumbu kada zote,kwa waajiriwa wapya😆😀
Ushajua kwa nini MD watu wanaingia na maksi kubwa na ada yake ni kubwa kuliko kozi yeyote ile inayotolewa vyuo vikuu hapa nchini?
Kigezo cha kulipwa hicho kimshahra Cha Cha laki9 sio maksi kubwa Mbweha wewe, kuna watu Wana pass marks kubwa formvi kuwazidi MD tumia akili MD wa jphpiego hawezi kulipwa mara kumi ya staff wa gaming board kwa sababu salary scale ya gaming board kwa afisa anayeanza kazi ni mara tatu ya MD wa tamisemi, gaming board most of officers wake ni accountants, finance, business administration, economists, hivyo hata jhpiego wapo hizo taaluma lakini MD huingii gaming board utapasikia kwenye redio
 
Kigezo kinachotumika ni years of study mtu kasoma miaka 6 hence hiyo pesa ni mbuzi still
Kwenye level ya tamisemi wenye hela ni Mipango miji, procurement, ARDHI MD hawana hela hiyo take-home ya laki9 ni pesa ndogo sana kwa hizo kada nilizozitaja
Hivi unajua sociologist,accountant,kada zingine etc, hata asome miaka 10 ama 100,awe na masters,CPA, phD😀😆😅,bado atapigwa pumbu na MD,kama kigezo ni miaka ya kusoma kama unavosema?😆😀🤣
Hapa sasa ndio nimejua kua wewe ni MPUMBAVU ila sasa nataka niprove😀
mtoa mada ameweka salary slip ya mshahara mdogo wa MD wa halmashauri,na wote tumeiona ,Je wewe kama sio MPUMBAVU,tuwekee salary slip ya Mipango miji, procurement,au hata ARDHI?😆🤣,Ili tuamini kua kweli MD hawana hata hela?
 
Yaani unasubiria mwanaume akuletee kifungu,baada ya wewe kukitafuta?😆😀😀........ndio maana MD wanawapiga pumbu ninyi na mademu zenu huko maofisini,...............kama tu mtoa mada ametuma salary slip ya MD akilipwa mshahara mdogoo,nawe leta salary slip ya sociologist/kada yeyote ile kwenye hio taasisi akilipwa mshahara mkubwa zaidi ya MD😆🤣😅😅
N.B:MD ukiajiriwa naye sehemu Moja atakupiga pumbu mbele na nyuma,hii ni Pi😅😆😆😀
- wewe huna akili, principally aliyetoa facts / fact anatakiwa athibitishe facts na sio mimi? Umeelewa? Mbumbumbu
-unasoma 6 yrs, sociologists anasoma three years halafu unakuja kuongea ujinga, badala ya kuPush agenda ya nyie muongezewe salary umekaa una hatamia umasikini,
- aliyesoma sociology anaweza kuingia sehemu nzuri zenye hela kuliko wewe unayeishia tamisemi masikini kabisa
 
Kigezo cha kulipwa hicho kimshahra Cha Cha laki9 sio maksi kubwa Mbweha wewe, kuna watu Wana pass marks kubwa formvi kuwazidi MD tumia akili MD wa jphpiego hawezi kulipwa mara kumi ya staff wa gaming board kwa sababu salary scale ya gaming board kwa afisa anayeanza kazi ni mara tatu ya MD wa tamisemi, gaming board most of officers wake ni accountants, finance, business administration, economists, hivyo hata jhpiego wapo hizo taaluma lakini MD huingii gaming board utapasikia kwenye redio
Salary slip ya mfanyakazi wa gaming board inabidi uzidishe mara 15 kuipata salary slip ya MD wa W.H.O,😆😀😀,MD sio matako kua Kila mtu anaweza kua nayo
Picha linaanza bila one Kali PCB huwi MD😆😀
TAMISEMI MD ndio anaongoza kuanza na salary kubwa na mto mada ameweka evidence,..............nawe weka evidence ya unchosema ili tujue kua wewe sio MPUMBAVU😀😆😆
 
Hivi unajua sociologist,accountant,kada zingine etc, hata asome miaka 10 ama 100,awe na masters,CPA, phD😀😆😅,bado atapigwa pumbu na MD,kama kigezo ni miaka ya kusoma kama unavosema?😆😀🤣
Hapa sasa ndio nimejua kua wewe ni MPUMBAVU ila sasa nataka niprove😀
mtoa mada ameweka salary slip ya mshahara mdogo wa MD wa halmashauri,na wote tumeiona ,Je wewe kama sio MPUMBAVU,tuwekee salary slip ya Mipango miji, procurement,au hata ARDHI?😆🤣,Ili tuamini kua kweli MD hawana hata hela?
- kinacholipwa ni miaka uliyossoma akili huna masikini kabisa, umebaki kusubiri mshahara wa laki9 hapo tamisemi,unazidiwa na police formiv Mbweha msubiri mshahara taka taka mavi
-kwa akili yako unashindana na afisa mipango miji? Mwenzio ana hela nyingi hategemei mshahara, nikwambie tu kwenye level ya tamisemi wenye hela ni watu wa ARDHI (mipango miji,land saveya,afisa ARDHI) nyie mliobaki mnategema mishahara ndio maana mnakuja kusifu takataka za laki8
 
- wewe huna akili, principally aliyetoa facts / fact anatakiwa athibitishe facts na sio mimi? Umeelewa? Mbumbumbu
-unasoma 6 yrs, sociologists anasoma three years halafu unakuja kuongea ujinga, badala ya kuPush agenda ya nyie muongezewe salary umekaa una hatamia umasikini,
- aliyesoma sociology anaweza kuingia sehemu nzuri zenye hela kuliko wewe unayeishia tamisemi masikini kabisa
Wewe toa facts kuweka salary slip ya gaming board ikiwa kubwa kuliko ya MD wa NIMR,kama principal anayetoa taarifa inabidi aweke facts😀😆😆ili tuamini maneno yako?
na tuamini kua wewe sio MPUMBAVU
 
- kinacholipwa ni miaka uliyossoma akili huna masikini kabisa, umebaki kusubiri mshahara wa laki9 hapo tamisemi,unazidiwa na police formiv Mbweha msubiri mshahara taka taka mavi
-kwa akili yako unashindana na afisa mipango miji? Mwenzio ana hela nyingi hategemei mshahara, nikwambie tu kwenye level ya tamisemi wenye hela ni watu wa ARDHI (mipango miji,land saveya,afisa ARDHI) nyie mliobaki mnategema mishahara ndio maana mnakuja kusifu takataka za laki8
Kua sociloagists,asome degree 3 years,masters 2 yrs,PhD 3 yrs ,akija TAMISEMI atalipwa zaidi ya MD Aliyesoma 5 yrs😆😀🤣
Kingine umegundua kua watu hawategemei mishahara eeeeh😅🤣🤣🤣🤣,baada ya kugundua kua MD anawapiga pumbu kada zingine sa hizi umegundua kua watu wanaweza kua na side hustle sio ili kujazia mishahara yao midogo😅😆😆😆
Kwa hio MD haruhusiwi kupata hela nje ya mshahara zaidi ya afisa mipango na bwanaa ardhi si ndio eeeh😆😅🤣
 
Salary slip ya mfanyakazi wa gaming board inabidi uzidishe mara 15 kuipata salary slip ya MD wa W.H.O,😆😀😀,MD sio matako kua Kila mtu anaweza kua nayo
Picha linaanza bila one Kali PCB huwi MD😆😀
TAMISEMI MD ndio anaongoza kuanza na salary kubwa na mto mada ameweka evidence,..............nawe weka evidence ya unchosema ili tujue kua wewe sio MPUMBAVU😀😆😆
-huna akili, kwenye hayo mashirika taaluma za watu wa gaming board pia zipo😂 unafikiri kuna taasisi Haina muhasibu? Finance manager? huyo ndiye anakulipa mshahara, lakini taasisi nyingine huwezi kukuta md!, BTW ni MD wangapi wako WHO? wengi wenu mmejazana halmashauri mnagombania OnCall za elfu 50
 
Wewe toa facts kuweka salary slip ya gaming board ukiwa kubwa kuliko ya MD wa NIMR,kama principal anayetoa taarifa inabiwi aweke facts😀😆😆ili tuamini maneno yako?
na tuamini kua wewe sio MPUMBAVU?
Salary scale na posho za gaming board zinazidi hizo taasisi zote ulizotaja, ofisa wa nimr hamfikii ofisa wa gaming board, gaming board inakusanya mapato sio sehemu ya kukusanya makaratasi
 
Kua sociloagists,asome degree 3 years,masters 2 yrs,PhD 3 yrs ,akija TAMISEMI atalipwa zaidi ya MD Aliyesoma 5 yrs😆😀🤣
enheee salaley slip ya MD tunayo analipwa kidogo sanaa,tuwekee Sasa salary slipa ya sociologist tuone maokoto yake pale TAMISEMI,😅😀😀
- wewe ni lofa unasoma miaka 6 halafu unakuja kupiga kelele, huzingatii huo muda uliosoma? Akili yako ni ndogo sana, umeridhika na laki8, na Nina uhakika sasa hivi hata laki2 huna umeishiwa unasubiri makombo ya laki8
 
-huna akili, kwenye hayo mashirika taaluma za watu wa gaming board pia zipo😂 unafikiri kuna taasisi Haina muhasibu? Finance manager? huyo ndiye anakulipa mshahara, lakini taasisi nyingine huwezi kukuta md!, BTW ni MD wangapi wako WHO? wengi wenu mmejazana halmashauri mnagombania OnCall za elfu 50
Umegundua ulivo kilazaaaaa,kwa hio umegundua hata BOT,TRA,NAOT etc,umegundua MD wapo ila kwa uchache eeeh.......🤣😅😀,yaani lengo langu ni kuweka reference kwenye huu Uzi kuonehaa UPUMBAVU WAKO ili Kila mwenye akili ajue,..........
haya sasa tuje kuonesha tena UPUMBAVU wako hapa😀😅😆
Kwa hio wahasibu, sociologist,wao wamejazanaaa sanaaa gamingboard,TRA na BOT na wanalipwa salaley ndefu kuliko MD na kule halmashauri wahasibu,sociologist wapo wachache sanaaa,waliojazana ni MD tu?,,😅🤣🤣,si ndio eeeeh
 
- wewe ni lofa unasoma miaka 6 halafu unakuja kupiga kelele, huzingatii huo muda uliosoma? Akili yako ni ndogo sana, umeridhika na laki8, na Nina uhakika sasa hivi hata laki2 huna umeishiwa unasubiri makombo ya laki8
Kwa hio sociologist ,accountants akisoma hadi masters,phD miaka zaidi ya 6,akianza kazi analipwa zaidi ya MD sababu amesoma miaka mingi kuliko MD?,Si ndio eeeh🤣😅😆
 
Kigezo kinachotumika ni years of study mtu kasoma miaka 6 hence hiyo pesa ni mbuzi still
Kwenye level ya tamisemi wenye hela ni Mipango miji, procurement, ARDHI MD hawana hela hiyo take-home ya laki9 ni pesa ndogo sana kwa hizo kada nilizozitaja
Natofautiana na wewe, kwenye ngazi ya TAMISEMI ama Serikali kuu, MD ndio anaongoza kupata mshahara mrefu.

Ukiongelea hizo kada tajwa hapo juu zina pesa za dili mbali na mshahara hapo nitakuelewa.
 
Salary scale na posho za gaming board zinazidi hizo taasisi zote ulizotaja, ofisa wa nimr hamfikii ofisa wa gaming board, gaming board inakusanya mapato sio sehemu ya kukusanya makaratasi
Kwa hio Taasisi zingine ambazo MD anafanya kazi hazina posho zaidi ya mtu anayefanya kazi gaming boards eeeeh,huko pekee ndio kuna posho😃 😆
Anhaaa kwa hio hospitali kule watu hawatoi helaa enheee?😆😃😀😆
Kwa hio hospitali hawakusanyi MAPATO si ndio enhee😄😁😆zaidi ya gaming boards
😆,daaah we jamaa ni genius,,😃😅😀😀,una akili sanaaa
 
Back
Top Bottom