Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

Upo sawa yaaani kada zote zimejazana gaming boards watu wanakula helaa pale😁😃😆😆
Yaani TAMISEMI wamejazana MD tu wanalipwa kidogooo
We jamaa ni genius aisee,nakubali sanaaa😃😁😁
Sasa MD wangapi wako Gaming board? Wangapi wako BoT? Wangapi wako Tasac? Wangapi wako ewura? Wangapi wako Tpdc? Wangapi wako TIRA? COMPARED to other professionals 😂
 
Sasa MD ana michongo kumzidi afisa ARDHI mipango miji? Kasome report ya Tume ya warioba, ''Corruption and State ' utakuta sehemu zilizotajwa kwa magumashi ARDHI Iko juu na sio Afya, nyie msubiri buku 50 za OnCall
- tegemea mshahara uishie kula tu
Hawezi mzidi hata mshahara,😃😆😆,yaani kwanza MD ni masikini sanaaaaa,angalia njaa tu ,na kama ulivosema MD akiwa halmashauri haruhusiwi kupata hela nje ya msahara zaidi ya afisa ardhi,hii mbona ni facfs aiseee😃😆😁
 
Upo sawa yaaani kada zote zimejazana gaming boards,EWURA,na TASAC watu wanakula helaa pale especially SOCIOLIST wa TARURA😁😃😆😆
Yaani TAMISEMI wamejazana MD tu wanalipwa kidogooo
We jamaa ni genius aisee,nakubali sanaaa😃😁😁
Eg sociologists wa TARURA anakuzidi kwa salary mbali sana ww hapo halmashauri
Mwemdesha mastaka anakuzidi mbali sana kwa hela huo mshahara wako wa halmashauri haufikii posho yake ya nyumba, bado posho ya simu, extraduty, hardships allowance 😂 ww ni Mbweha msubiri mshahara taka taka
 
Sasa MD wangapi wako Gaming board? Wangapi wako BoT? Wangapi wako Tasac? Wangapi wako ewura? Wangapi wako Tpdc? Wangapi wako TIRA? COMPARED to other professionals 😂
Wahasibu,walimu,sociologist wengi hawapo halmashauri wamejazana BOT,TIRA na TPDC yaani ajira nje nje,😆😃😀😄
Ni MD tu ndio haruhusiwi kufanya kazi zaidi ya halmashauri tu,....we jamaa una facts sanaa😀😃😃
 
Hawezi mzidi hata mshahara,😃😆😆,yaani kwanza MD ni masikini sanaaaaa,angalia njaa tu ,na kama ulivosema MD akiwa halmashauri haruhusiwi kupata hela nje ya msahara zaidi ya afisa ardhi,hii mbona ni facfs aiseee😃😆😁
Nakwambia huwezi kumfikia ofisa ARDHI mipango miji, nakupa mfano tu mtu anauza ARDHI ya miloni 500 ili hiyo transfer unajua inahitajika nini ili upate hati yako 😂😂😂
 
Hii ni facfs hata MD walio mtaani ni wengi sanaaa ukilinganisha na SOCIOLOST,maana TARURA sociologists pale nafasi zinawangoja,😀😄😄
Daah jamaa una madini sanaa
Eg sociologists wa TARURA anakuzidi kwa salary mbali sana ww hapo halmashauri
Mwemdesha mastaka anakuzidi mbali sana kwa hela huo mshahara wako wa halmashauri haufikii posho yake ya nyumba, bado posho ya simu, extraduty, hardships allowance 😂 ww ni Mbweha msubiri mshahara taka taka
 
Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000

HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400

Unabaki na 849,020

Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
Mbona hizo nyingi sana.
 
Wahasibu,walimu,sociologist wengi hawapo halmashauri wamejazana BOT,TIRA na TPDF yaanaia ajira nje nje,😆😃😀😄
Ni MD tu ndio haruhusiwi kufanya kazi zaidi ya halmashauri tu,....we jamaa una facts sanaa😀😃😃
Ww umechanganyikiwa? Mimi kwenye Mada yangu wapi niliweka walimu? Mbwa kabisa ww Mbweha msubiri mshahara
 
Hii ni facfs hata sociologist walio.mtaani ni wengi sanaaa ukilinganisha na MD,maana TARURA pale nafasi zinawangoja,😀😄😄
Daah jamaa una madini sanaa
- MD siku hizi WanaFanya interview na nyie pia mko wengi sio kama zamani Mbweha msubiri mshahara taka taka masikini
 
Nakwambia huwezi kumfikia ofisa ARDHI mipango miji, nakupa mfano tu mtu anauza ARDHI ya miloni 500 ili hiyo transfer unajua inahitajika nini ili upate hati yako 😂😂😂
Upo sahihi kabisa halmashauri zote Viwanja vya milioni 500 ni vingi sanaaaa na mafisadi ardhi wanajichotea tu,😀😃😆😆kukuta afidha ardhi anaingiza milioni 50 kwa mwezi baada ya kuuza Viwanja halmashauri ni kawaida sanaaa
We jamaa ni genius aiseee😃😀😁
 
Ww umechanganyikiwa? Mimi kwenye Mada yangu wapi niliweka walimu? Mbwa kabisa ww Mbweha msubiri mshahara
Upo sawa aisee unajua halmashauri SOCIOLOGIST na ACOUNTANTS analipwa kidogo kuliko mwalimu wa degree😀😃😃na MD😁😆😆
 
- MD siku hizi WanaFanya interview na nyie pia mko wengi sio kama zamani Mbweha msubiri mshahara taka taka masikini
MD wapo wengi kuliko wahasibu,walimu na masociologist😁😃😃,hii ni sahihi kabisa,........unajua wahasibu,walimu,sociology wengi wamejazana TARURA,wanakula kuku kwa mrija pale
 
spleen na mkeo atagongwa sana na maofisa wa tra ewura tasac 😂si huna hela unakazi ya kusifu takataka za laki8
Ni sahihi kabisa yaaani mke wangu aligongwa sana na SOCIOLIST wa TARURA, maana wana hela mnooo,aisee unajua TARURA SOCIOLIGISTS wamejazana sana kule,kiasi hata mtaani hawaonekani😁😃😃
 
N

Ni sahihi kabisa yaaani mke wangu aligongwa sana na SOCIOLIST wa TARURA, maana wana hela mnooo,aisee unajua TARURA SOCIOLIGISTS wamejazana sana kule,kiasi hata mtaani hawaonekani😁😃😃
Tafuta hela na uache kusifu takataka za laki8, wenzio halmashauri Wana michongo ya magumashi mingi ww umekaa tu unapiga kelele na takataka za laki8
 
Back
Top Bottom