Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

Hii nchi tasisi mbili tuu ndo zinalipwa vzr wengine kiukweli ni huruma ,ukiweza jiajiri.
Kwa maisha yasa pesa ndogo sana
Kua Kila aliejiajiri anapata income kubwa kuliko alieajiriwa?
Kua ukiajiriwa huwezi kujiajiri ukapata double/triple cash flows?
 
Hii nchi tasisi mbili tuu ndo zinalipwa vzr wengine kiukweli ni huruma ,ukiweza jiajiri.
Kwa maisha yasa pesa ndogo sana
Kua Kila aliejiajiri anapata income kubwa kuliko ?
Kua uakiajiriwa huwezi kujiajiri ukapata double/triple cash flows?
 
Pamoja sana mkuu,....kwenye maisha kikubwa ni income.........hakuna maana ya kua mfanyabiashara uliyebusy hupati faida huku ikiwa walioajiriwa wanapata per capital ya nchi kwa miezi 2 tu, tena hata weekend hawaendi kazini

Inawezeka kwa asimia mia Moja ,sikuwa na maana aache hoja yangu ipo humohumo chumbani kwana ni swala uandishi tuu
 
MD Kila sehemu atayekuepo lazima ampige pumbu kada nyingine,afisa wa TRA,TPA,TMDA,TANESCO ambaye ni MD lazima ampige pumbu accountant,etc....vivo hivyo kwa wizara na TAMISEMI
na hii si Tanzania hata ukienda U.S ,U.K etc,top 10 most paying jobs,huwezi kosa MD😀😃😃
Kuna reasons kozi ya MD wanachukua marks kubwa na 70% ya vyuo ni private hapa TZ ambapo ada ya mwaka mmoja tu ni sawa na ada ya sociology,education hadi masters
MD sio kozi ya watu masikini na failures
Tra kuna MD wangapi?
MD wa tamisemi anazidiwa na police wa form iv mbona
 
MD ndio anaongoza kulipwa mshahara mkubwa kwenye hii nchi,70% ya wafanyakazi kwenye hii nchi wapo TAMISEMI na wizarani ambapo MD ndio anawapiga pumbu wote hao
Yes na sio tu hapa TZ hata ukienda U.S,Canada,Australia,South Africa,Kenya,Uganda kwa uchumi wao MD ndio anaongoza kuwapiga pumbu kada nyingine
Ulivyosema laki8 ni kubwa nimekuona Mbweha msubiri mshahara masikini
 
Tra kuna MD wangapi?
MD wa tamisemi anazidiwa na police wa form iv mbona
Tarura kuna sociologist wangapi?🤣🤣
MD yeyote akienda kwenye majeshi anakua officer yaani hii ni Pi=22/7,lazima aanze na nyota kuanzia Moja,.........na hapa ndio unakuta MD anawapiga pumbu kada zingine Kila sehemu,...............😃😀
Ushajua kwa nini MD ndio kozi inayoongoza sio tu TANZANIA hata U.S,CANADA,U.K kwa kua na ada kubwa na kuchukua watu wenye maksi kubwa??
 
Ulivyosema laki8 ni kubwa nimekuona Mbweha msubiri mshahara masikini
Yes wapo MD kibao wanasubiri mishahara ambayo ni ndoto ya mitaij ya wafanyabiashara wakubwa😀😃
MD Kila sehemu lazima awapige pumbu kada nyingine😃😀😀
MD akiwa TAMISEMI ataanza na hio laki 8,lakini yeye ndio ataongoza kwa huo mshahara hapo TAMISEMI kwa waajiriwa wapya kada zote😆😀
MD huyo huyo akisema aende U.S kufanya USLME bado atawapiga pumbu kada zingine kwa income kubwa
Ushajua kwa nini MD ndio kozi inayoongoza sio tu TANZANIA hata U.S,CANADA,U.K kwa kua na ada kubwa na kuchukua watu wenye maksi kubwa??😃🤣😅
 
Tarura kuna sociologist wangapi?🤣🤣
MD yeyote akienda kwenye majeshi anakua officer yaani hii ni Pi=22/7,lazima aanze na nyota kuanzia Moja,.........na hapa ndio unakuta MD anawapiga pumbu kada zingine Kila sehemu,...............😃😀
Ushajua kwa nini MD ndio kozi inayoongoza sio tu TANZANIA hata U.S,CANADA,U.K kwa kua na ada kubwa na kuchukua watu wenye maksi kubwa??
Umechemka hapa. Huo mfumo ulikuwa zamani kwamba kila degree lazima aanze na nyota. Kwa sasa hakuna hiyo.

Vyombo vya wizara ya mambo ya ndani: PT, MT, UT, ZT yeyote mwenye degree including hao madaktari watapanda vyeo kawaida kabisa kila baada ya miaka 3 au 4. Yani ataanza kama Konstebo (asiye na cheo = private), ataenda koplo>>sajent>>sajent meja (staff sajent) >>>nyota. Akibaatika, atapanda kutoka konstebo >>> sajent (koplo ataluka).

Na hii ndiyo hasara wanayoipata vyombo vya wizara M/Ndani kuwa pamoja na taasisi za kiraia kama NIDA na RITA.

Watakachosaidiwa, kila mwenye degree atalipwa mshahara maalumu wa degree + professional allowance kama 15% hivi kama sijakosea. Kwahiyo Daktari akiajiriwa kama askari, atalipwa 1.5M + proffesional allowance ya 15% (225000/=, haina kodi).

Nyongea ya posho kama house allowance 15%, Utility allowance 15%, Risk/hardship allowance 15%, Transport allowance 15%. Kwahiyo kwa daktari hapo atakusanya 225000 kwa kila posho (hazina kodi). Taaluma zingine nao wana mishahara yao kwa degree (800,000 - 1,100,000) + na posho hizo.
 
Huna akili,huna kipato pambana kuongeza kipato, badala ya kupambana tamisemi waboreshewe maslahi unaanza kusema laki8 ni pesa hiyo ni posho ya nyumba ya state attorney's
 
Sociologists wako wengi kwa sababu miradi yote ya road construction mtu wa social lazima awepo, salary scale ya sociologist wa TARURA ni 2.1m
 
Umeshafahamu ya kua popote ambapo MD alipo anawapiga pumbu kada zingine?😅😃😀,iwe TAMISEMI,wizarani,jeshini,ajira za kimataifa au taasisi😀😃😅
Umeshafahamu ya kua 70% ya watumishi wa umma Tanzania wapo halmashauri,na MD ndio anaongoza kuwapiga PUMBU?😃😃
Umeshafahamu ya kua kwenye majeshi MD akiingia lazima awe officer?,hata kama ana miezi 2 lazima aanze na nyota kuanzia 1😀😃,tofauti na SOCIOLOGIST🤣🤣
 
Umechemka hapa. Huo mfumo ulikuwa zamani kwamba kila degree lazima aanze na nyota. Kwa sasa hakuna hiyo.

Vyombo vya wizara ya mambo ya ndani: PT, MT, UT, ZT yeyote mwenye degree including hao madaktari watapanda vyeo kawaida kabisa kila baada ya miaka 3 au 4. Yani ataanza kama Konstebo (asiye na cheo = private), ataenda koplo>>sajent>>sajent meja (staff sajent) >>>nyota. Akibaatika, atapanda kutoka konstebo >>> sajent (koplo ataluka).

Na hii ndiyo hasara wanayoipata vyombo vya wizara M/Ndani kuwa pamoja na taasisi za kiraia kama NIDA na RITA.

Watakachosaidiwa, kila mwenye degree atalipwa mshahara maalumu wa degree + professional allowance kama 15% hivi kama sijakosea. Kwahiyo Daktari akiajiriwa kama askari, atalipwa 1.5M + proffesional allowance ya 15% (225000/=, haina kodi).

Nyongea ya posho kama house allowance 15%, Utility allowance 15%, Risk/hardship allowance 15%, Transport allowance 15%. Kwahiyo kwa daktari hapo atakusanya 225000 kwa kila posho (hazina kodi). Taaluma zingine nao wana mishahara yao kwa degree (800,000 - 1,100,000) + na posho hizo.
Nitafutie MD sergent au koplo JWTZ, pale Lugalo, nikatutafutie kuku mwenye miguu minne🤣😃😀
Suala la MD kua officer sio ombi ni Sheria za kimataifa😀😃🤣..........MD sio matako kua Kila mtu anayo🤣🤣
SOCIOLOGIST, ACCOUNTANT sio lazima awe officer lakini hii si excuse ya MD kwenye jeshi lolote lile duniani
Na akiwa na masters tu baashi,huyo ni major,ama kanali
Bado tu huamini kua Kila alipo MD lazima awapige pumbu wenzake??😃😀🤣😀

Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000

HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400

Unabaki na 849,020

Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
Hujaumwa wewe, hawa jamaa utatamani ukawape free lunch ila kuwapata ni ngumu inabidi utume na ya kutolea.
 
Back
Top Bottom