Makazi ya Mbowe huko Machame yatufunze kujitegemea siyo kuiba mali za umma kama wafanyavyo wanasiasa wengi nchini

Ila hawa jamaa wanaishi maisha mazuri sana
Ukipita barabarani kutoka KIA utajua yaani ukubwa wa viwanja utasema mitaa ya states 😄
 
Machame nyumba za ainahiyo zipoje kibao kuanzia kulejuu Nronga Masama Kibosho Umbwe Mailisita Tena nzuri kuliko hiyo ya hapo Nshara Kwa Mbowe

Hivyo ma White House kibao!!!
Waambie hao....
 
...

Unaamua kuingia zako field ukiwa na viapo vyote,ukiishatia mguu ndipo unagundua hapa hakuna cha kuuza simu tunapangana kilofa tu.
Sikia Mgaratia ooh sorry mkorinto ipo hivi, njia ya mafanikio anayopitia mwenzako ni tofauti na yako itakayokutoa.

So wakati mwingine tunadharau misukumo ya nafsi zetu kuendea mafanikio, mwishowe tunaangukia kujiua kama unavyosema.
 
UWT si ndio "Usalama Wa Taifa" kwa humu JF tangu ilipoanzishwa!!??
Pole kwa kuwa mgeni wa JF.
UWT hii siyo hiyo ya Umoja wa Wanawake wa CCM.
Najua kuwa usalama ni TISS, sikujua kwamba kuna kifupisho cha UWT, elimu haina mwisho asante kwa kunifahamisha.
 
KunYWa soda 7 unaonyesha ulivyo mkafi
KunYWa soda 7 inaonyesha ulivyo mlafi!
 
Vijana wa makumbusho [emoji23][emoji23]...

Naskia ni wanaliwa ile mbaya

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mbowe hii nyumba ni ya kijijini, zipo Moshi, Arusha, Dodoma na Dar es salaam.
Bado za biashara na Viwanja, mahoteli, Wenzetu huko Kwao sijui wanajenga wapi, au wananunua appartment wakizeeka wataendelea kuishi kwenye appartment.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…