Makazi ya Mbowe huko Machame yatufunze kujitegemea siyo kuiba mali za umma kama wafanyavyo wanasiasa wengi nchini

....Hisani Huanza Nyumbani....Maendeleo yanapaswa kuanza Nyumbani ! ... Kwenu huna Nyumba Wala Choo kizuri halafu Nyumba Yako na Choo kizuri cha kwanza ukajenge Mbali ?? [emoji848][emoji848]
 
Kuna mchaga mmoja mzee wa Kanisa kkkt Arusha Chatu alitoka chumbani kwake mwenyewe akiwa safarini

Alipopigiwa Simu akasema " msimuuwe tafasali" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Rombo kama Makete 🐼
Hiyo story ni kweli naikumbuka, lakini huruhusiwi kuua mnyama yoyote bila kibali cha watu wa maliasili alikuwa sahihi.
 
....Hisani Huanza Nyumbani....Maendeleo yanapaswa kuanza Nyumbani ! ... Kwenu huna Nyumba Wala Choo kizuri halafu Nyumba Yako na Choo kizuri cha kwanza ukajenge Mbali ?? [emoji848][emoji848]
Kwenu wapi ? Fanya maendeleo kwako kwa ajili ya wanao hao kwenu kama ni wizazi wajijengee wenyewe....Unafikria Mbowe kajenga kwa pesa zake au wazazi wake ni masikini πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…hizo nyumba zipo ngapi huko kijijini !?


Jenga unapoishi kukata chain ya umaskini anza na kizazi chako ...Wapo wabongo wana nyumba south Africa mambo mbele kwa mbele...Hata ufe huwezi kupata hiyo aibu kama kwenu pabaya.


Kama una pesa ndefu fanya kujenga unapoishi ila kama ni surplus jenga na kwa wazazi wako .

Chukulia mfano mwalimu akajenge kijijini kwako tena kwa mkopo mpaka alipe na kujenga yake kashastaafu na lundo la familia.
 
Kuna watu hii mada imewafanya roho ziwaume,wivu pamoja na roho mbaya kuona umesifia maendeleo ya wasiyempenda.Wanajitaidi kutafuta kila sababu zakuonyesha sio kweli au mbowe kawekeza kwa kuiba.Nyie wote mliokoment kwa style hiyo mna roho mbaya ya kimaskini,chuki na husda.Pole sana na vizazi vyenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetoa somo zuri ila sasa kwenye reference hapo....hata huyo mbowe mwenyewe akisoma atakushangaa mkuu.
 
Kwa machame hiyo ni nyumba ya kawaida Acha kutuwekea maneno mdomoni mkuu.
Sijasema hiyo nyumba ni bora kuliko zote, lakini tambua tu wenyeji wanapenda kupaita white house kutokana na rangi yake pamoja na wanavyo muheshimu mbowe.
Wengi humuona kama ndio mfalme ama rais wao
 
Kuna mchaga mmoja mzee wa Kanisa kkkt Arusha Chatu alitoka chumbani kwake mwenyewe akiwa safarini

Alipopigiwa Simu akasema " msimuuwe tafasali" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Rombo kama Makete 🐼
Kuna mzee Mamu ambaye alikuwa akiishi jirani na alipojenga Mbowe. Baada ya kifo chake kulitokea usumbufu mkubwa sana wa joka lililokuwa likionekana mtaani ila ikawa ngumu kuliua kwa sababu linapotea. Lilikuwa likimilikiwa na Mzee Mamu.
 
Kwanza hiyo nyumba ya Mbowe ipo kwenye hifadhi ya barabara. TANROADS wafanye kazi yao waliyosomea.
Kwa nyumba sifikirii ,labda fence na sehemu ya uwanja huenda ikawa ndani ya road reserve, sidhani kama mbowe anaweza ku risk kiasi hicho kujenga katika road reserve nyumba yake ya makazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…