DungaMawe
JF-Expert Member
- Jul 31, 2022
- 1,522
- 4,630
Sio toka enzi ya nyerere, sema nyerere anakuja mjini anamkuta mzee wake mbowe tayari ni mshua kitamboHuyo ni mtoto wa mboga Saba Toka enzi ya Nyerere mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio toka enzi ya nyerere, sema nyerere anakuja mjini anamkuta mzee wake mbowe tayari ni mshua kitamboHuyo ni mtoto wa mboga Saba Toka enzi ya Nyerere mkuu!
....Hisani Huanza Nyumbani....Maendeleo yanapaswa kuanza Nyumbani ! ... Kwenu huna Nyumba Wala Choo kizuri halafu Nyumba Yako na Choo kizuri cha kwanza ukajenge Mbali ?? [emoji848][emoji848]Sasa maendeleo huwa hayaji kwa namna hiyo. Watu kutokujenga vijiji wanapotokea sio sababu ya msingi kwa vijiji hivyo kutoendelea bali hicho ni kisingizio. Watu wanaendelea kwa kuhama eneo moja na kwenda kwingine kupeleka nguvu kazi na kukiwa na Halimashauri imara zenye weledi kiitendaji mbona maendeleo yanatokea bila shida.
Na wewe kaibe kama ni rahisi kufanya hivyoAmeiba ruzuku ya chama ndio akajenga iyo nyumba
Hiyo story ni kweli naikumbuka, lakini huruhusiwi kuua mnyama yoyote bila kibali cha watu wa maliasili alikuwa sahihi.Kuna mchaga mmoja mzee wa Kanisa kkkt Arusha Chatu alitoka chumbani kwake mwenyewe akiwa safarini
Alipopigiwa Simu akasema " msimuuwe tafasali" 😂😂😂
Rombo kama Makete 🐼
Kwenu wapi ? Fanya maendeleo kwako kwa ajili ya wanao hao kwenu kama ni wizazi wajijengee wenyewe....Unafikria Mbowe kajenga kwa pesa zake au wazazi wake ni masikini 😅😅😅hizo nyumba zipo ngapi huko kijijini !?....Hisani Huanza Nyumbani....Maendeleo yanapaswa kuanza Nyumbani ! ... Kwenu huna Nyumba Wala Choo kizuri halafu Nyumba Yako na Choo kizuri cha kwanza ukajenge Mbali ?? [emoji848][emoji848]
Chatu lingine lipo Rombo Shekilango 😂😂🔥Hiyo story ni kweli naikumbuka, lakini huruhusiwi kuua mnyama yoyote bila kibali cha watu wa maliasili alikuwa sahihi.
Acha ujinga wako, wakinga hambadilishi nguo mnavaa malapa muda wote huku mtu una semi 200, nyie MUNGU anawaonaChatu lingine lipo Rombo Shekilango 😂😂🔥
Kwa machame hiyo ni nyumba ya kawaida Acha kutuwekea maneno mdomoni mkuu.Watoto wa machame et wanaita white house
Hao ni Wakinga wa zamaniAcha ujinga wako, wakinga hambadilishi nguo mnavaa malapa muda wote huku mtu una semi 200, nyie MUNGU anawaona
Kazi ipo...Inabidi muige sasa mfano wa mwenyekiti wenu
Ni sahihi kabisa,nimezungumzia utawala mkuu!Sio toka enzi ya nyerere, sema nyerere anakuja mjini anamkuta mzee wake mbowe tayari ni mshua kitambo
Hii iko Machame, je ya Dar ikojee??View attachment 2812091
Makazi ya mwamba Mbowe
Sijasema hiyo nyumba ni bora kuliko zote, lakini tambua tu wenyeji wanapenda kupaita white house kutokana na rangi yake pamoja na wanavyo muheshimu mbowe.Kwa machame hiyo ni nyumba ya kawaida Acha kutuwekea maneno mdomoni mkuu.
Kwanza hiyo nyumba ya Mbowe ipo kwenye hifadhi ya barabara. TANROADS wafanye kazi yao waliyosomea.Akili za kimaskini. Hujui kuwa Nyerere alikuwa anapanga mstari kwa babake Freeman kuomba hela ya Uhuru
Kuna mzee Mamu ambaye alikuwa akiishi jirani na alipojenga Mbowe. Baada ya kifo chake kulitokea usumbufu mkubwa sana wa joka lililokuwa likionekana mtaani ila ikawa ngumu kuliua kwa sababu linapotea. Lilikuwa likimilikiwa na Mzee Mamu.Kuna mchaga mmoja mzee wa Kanisa kkkt Arusha Chatu alitoka chumbani kwake mwenyewe akiwa safarini
Alipopigiwa Simu akasema " msimuuwe tafasali" 😂😂😂
Rombo kama Makete 🐼
Kwa nyumba sifikirii ,labda fence na sehemu ya uwanja huenda ikawa ndani ya road reserve, sidhani kama mbowe anaweza ku risk kiasi hicho kujenga katika road reserve nyumba yake ya makaziKwanza hiyo nyumba ya Mbowe ipo kwenye hifadhi ya barabara. TANROADS wafanye kazi yao waliyosomea.