Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria yashambuliwa kwa drone

Mkuu kwanza unaonekana upeo wapo mdogo.
Unaposikia Hezbollah militia usilinganisha kama na wanamgambo wa kwenu hapa.


Unajua maana ya militias??

Hezbollah wanaitwa wanamgambo kwa sababu sio part ya jeshi la Lebanon.
Kikundi kinachopigana ambacho akitambuliwi na Sheria za kimataifa na za nchi, zote kwa ujumla ndo maana wanaitwa wanamgambo ni kama M23 kule drc, lkn shughuli unaiona.

Hao Hezbollah ni jeshi tofauti na unavyofikilia. Wanamainginia na wataalamu wao. Na ndo maana hata rocket wanatengeneza wenyewe ni kama hamas tuu. Ambacho hata jeshi la JWTZ hawewezi.
Yani wewe unafikili kama Hezbollah ni kama wapo dhaifu tuu ndo fikra zako.
Hao Hezbollah wakikuta na JWTZ ambayo tunawaita jeshi na sio wanamgambo, uhakika JWTZ wanapigika vizuri sana.




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…