Makelele ya bandari yameishia wapi?

Siku zote nimekuwa nasema usije kuwahi kumwamini mwanasiasa kwa lolote au chama chochote, wanatembelea trending tu hakuna lolote.
 
TEC wapo kwa maslahi ya Watanzania, Serikali yenu ipo kwa maslahi ya Waislam, hatutaki wapewe Waislam kuendesha chochote. Tazama hata wizara zote zinazoendeshwa na Waislam zilivyoharibika..
Bibi tinakuheshimu sana Ila udini ulionao unakufanya uonekane km umerukwa na wazimu au hauna akili, una ulokole fulani hivi wa Kiislamu wewe Suni au Shia?
 
DPW wamekimbia mechi wameona isiwe taabu.

Chezea wabwekaji wewe
 
Mwislam mtazania hana shida sababu washazoea kuishi na wakristo,sasa ukiimpa uyo mwarabu hutaajiriwa bandarin kama wewe siyo Muhammed, au asha n.k. si unaona hata kwenye mabasi yao,au taasisi zao yaan ni tatizo
 
Mtu aliyekosea, unamwambia mara moja tu na kumuacha. Kuendelea kusemasema utaonekana wewe ndo huna akili..!! Kwani ESROW wewe bado unaiongelea? Au richmond je!

Hiyo CCM hoyee ndo inalipa 75B kisa ujinga wao
 
Watu wamejikita katika Utaifa zaidi juu ya vipengele vya Mkataba vilivyo vibovu wewe unaleta issue za DPW kumiliki bandari zaidi ya 80. Sasa je kati ya hizo bandari 80 anazomiliki vipengele vyake vinafanana na vipengele ambavyo vipo kwenye Mkataba wetu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…